Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Kusameheana muhimu sana hasa kama mna watoto pamoja na umesema anatia huruma labda hawezi kurudia kosa.

demi jana sijalala..hahaa had saa6 ananitxt..anatia huruma...anaomba msamaha tu...anapiga simu ila sirudi demi...sema watoto wananifanya nilie kweli kweli..😂😂nikitoboa nitakupitisha nilipopita😂😂..shoga kuna ugumu..alafu naambiwa eti ww hyo age huez kaa alone lazima utaolewa tena😑😑😑napata kichefuchefu
 
Sio wote bwana watu tupo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu kugombana kupo lakini sio mwanamke kuwa na sauti kwa mumewe

Mkuu wewe mkeo amekupanda kichwani mkeo ana sauti kuliko wewe na hiki ulikosea toka mwanzo mlivyoanzana

Mwanaume anatakiwa awe na sauti akiongea mara moja harudii baba kaongea kwenye nyumba
Nakaziaaaa....kamdekeza wee mpaka kampanda kichwani

Mwanaume unakubalije mwanamke akuzoee zoee ka chupi aaaagh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom