mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ipi hiyo nijiandae
Ukipandacho ndio unachovuna na samaki mkunje angali mbichi acha apambane naye tuNakaziaaaa....kamdekeza wee mpaka kampanda kichwani
Mwanaume unakubalije mwanamke akuzoee zoee ka chupi aaaagh!
Sent using Jamii Forums mobile app
We haribu tu kwa vile na wewe unacho hakitaharibika kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdada gani mwingine ebu acha kunisemea uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu pole mnooo halafu wanaume wengi wa jf mnapitia magumu sana kwenye ndoa zenu jamaniHapa navuta muda bar ya Jirani yani nicoment nisicoment moto lazima uwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu njo basi unikamate
Apotee kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa navuta muda bar ya Jirani yani nicoment nisicoment moto lazima uwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu niambie pa kukupeleka
Bonge moja la selfish huyu jamaa yako....but nikwambie kitu wanaume wetu wengi wako hivoo asee!...sasa inategemea utahandle vip situation kama hii daaah!unadhan nimeanza kuwaambi muda bas yalinifikia hapa..mwaka 2017 ndo nikaanza waambia...wakawa hawaamini kbs..mwaka huo huo wakamwita akakiri atabadilika..hajabadilika..ukiwapelekea kesi kwao hakuna ht kumwita..wapo tu..sijakosea shunie...maisha yangu ww ht ww usingeweza kuishi na huyu..ht mamangu mzaz asingeweza kbs..ni mtu ambay hajali kbs...yaan walaaa...anajua huyu amejitosheleza..yaam sijui nikuambiaje..yaan yule ht utokee msiba hajigusi kuchanga..yupo tu yaan mshahara wake haurlewk unaenda wap...ht niugue vip walaa...anakuangalia tu[emoji23][emoji23]...yaan mm nisipochakarika ndo nyumba inakosa dirwction...yaan ni yule wa kuamka na kuoga na kuondoka..ada tunashea..i meana na mm alisema nisomeshe m1[emoji23][emoji23]mshahara wake yy naingia mm mara 6..hajui manengelo ni wife ana mahtj yake...hajigusi kwa lolote lile..yaan zezeta hafiki kwake..yy ni pombr tu..hana ht mawazo ya kutagta kabiashara mwenzako...
mm nikifungua kabiashara atakupa bigup kibao..akianza kuona kanasimama anaanza choko choko...akutafute tu akakufungie..juzi kaulizwa eti mkeo anachosrma hujawah mpa ht laki 1 ni kweli?akasema huo ni udhaifu wangu..nitajitekebisha..yaan ni yy na wanae tu...ss iba simu yake uone mpesa kqa mamake huko ..mara laki 5..tena anakiambia kns mama amenionbq laki 5 dah..sina..anakiambia nitagtie mkopo..yaan yuko radhi ampe mamake laki 5 za kukopa shoga...amejaa maden tu..namanisha madeni...ss mm wakaz gan huyo?mbinafs kufa...ni ndoa ya kutegeana..akiona luku imekata anakuambia nunua nitakirefund end of month yaan yy kila kitu anakuanbai fanya nitakulipa mshahara ukitoka..!jaman si bora nikakaa alone...?inafikia kipindi unakosa kns hisia naye..yaan unajiuliza maswali hayana majibu
Mkuu nimefurahi sana kusikia haujawahi kuonja machungu ya ndoa... Naomba nikuulize una muda gani tangu umeingia kwenye ndoa??Asante sana nikupe pole mnaweza kuyatatua mkae chini mrekebishe mnapokosea na mkubali kubadilika kila mmoja kwa nafasi yake
Mweeeeeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Take a deep breath and JUST DO IT!
Hahhaha huwezi jua ujue naweza ghafla tu kukupenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ninacho kinini hiko