Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Swala la ndoa ni agizo la Mungu kwetu sisi binadamu, lkn limekuwa ni chanzo cha hasira, ugomvi, chuki, dharau na mjuto yacyo na kikomo na ikitokea kikomo basi ujue mwana ndoa mmoja yupo hospital kwa kipigo kutoka kwa mwenzi wake au ameshafukiwa kaburini au wametengana ingawa chuki bado zinakuwa hai kwenye mioyo yao, hasa pale mmoja wapo akimkumbuka mwenzi wake..

Kwa upande wangu bado nichangamoto sana kwani huwa naishiaga kwenye uchumba tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida nyingine ni kuoana kwa kufuata vigezo kama vile uzuri, pesa na vingine sasa ngoma inakuwa nzito ikitokea mpo ndani ya ndoa mambo yakabadirika mfano macho yakamuona mzuri zaidi au pesa zikawakimbia. Kama mngeoana mkiwa na upendo wa dhati hayo hayatatokea. Kwa upande wangu nipo kwenye ndoa na mtoto wetu wa kwanza ana miaka 9 kwa sasa na sijawahi kuwa kwenye huzuni kuhusiana na mapenzi zaidizaidi ni kadri siku zinavyokwenda ndiyo upendo unaongezeka. Kwa wale ambao hawajaoa na kuolewa epukeni sana kutafuta mpenzi ili watu wakuone umechukua kifaa. Pia kila mtu kwenye ndoa kutaka kuwa juu ni tatizo kikubwa kila mtu ajishushe na hiyo itaketa amani na upendo kwenye ndoa yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Epuka ndoa za uchumba wa miezi 5 hazidumu

Jr[emoji769]
Mi nimekua kwenye uchumba kwa miaka 3 na niko kwenye ndoa lakini bado naona kama simjui vizur..ni msiri sana.ila natamani nimjue hasa kwa sasa ambako nahis sio mwaminifu..na simu yake anaichunga sana.i wish ningekua tcra
 
Achana na hiyo simu yake, ukianza kuchokonoa huko utakuwa umeichoka amani
 
Mi nimekua kwenye uchumba kwa miaka 3 na niko kwenye ndoa lakini bado naona kama simjui vizur..ni msiri sana.ila natamani nimjue hasa kwa sasa ambako nahis sio mwaminifu..na simu yake anaichunga sana.i wish ningekua tcra
Jipe muda kuna mahali atakosea tuu

Jr[emoji769]
 
Hahaaaa hatarii

Btw hivi unajua nakufahamu, na wewe pia umanifahamu sema hujanijua tu, kifupi tunafahamiana, and somehow relatives, teh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Sema kweeli jamanii!!!
Wallahi nakuapia, ila ndo hivo wwe jiachie, tutaendelea kukutana tu physically na kamwe sitakwambia ni mimi, teh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh
Sio rahisi kabisaaa... Na uhakika asilimia 110% hakuna relative mwenye anaijua JF
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf ni kichaka woiweeerrr
 
Back
Top Bottom