Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Vinaanziaga huko, baadae sharing inakuwa too close halafu kunakuja viutani fulani, kusaidiana, vizawadi halafu kinafuatia kumisiana... Baada ya hapo...

Jr[emoji769]
Baada ya hapo utani unazidi kuwa utani hhahahaha
 
Baada ya hapo utani unazidi kuwa utani hhahahaha
Halafu mnaanza kuitana d na my na kuanza kuulizana kama mmekula na mmekula nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom