Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Jomoneeeeeh mbna siku inaanza kua nyeupe mchana ivi, huhuhuhuh hili jiji litakoma now, ntakua na slay na ndinga ya sponsor, nkichoka nachukua mkoko wa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAK rafiki yako huyu huku
 
Reactions: BAK
Aaaaah ouk sawa, mf wa hizo gari?
Yaani ni gari zozote kubwa na ndogo hata za mizigo pia ambazo wamiliki wake wako kwenye hizo nchi ambazo hazina bandari hivyo husafirishwa na meli mpaka bongo au Mombasa Kenya na kisha kutembezwa mpaka final destination
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mchokozi wewe! Angalia sasa hayo maandishi! Mimi sitii neno.
Shauri zako, mimi sibahatishi. Ni ukweli kabisa huyu ni mwanaume na. Sio binti
 
Reactions: BAK
Changamoto wazipatazp madereva wa magari makubwa ya biashara na hata madogo pia
Hakuna mikataba rasmi ya kazi
Mishahara ni midogo mno
Hawana bima
Wale wa masafa marefu hulipwa mileage
Changamoto za mizani kuzidisha mizigo
Usumbufu wa traffic police
Uharibifu wa gari
Kwa madereva wengi ni rahisi mno kupokonywa gari na kazi kuisha ukiwa njiani tena mbali kabisa na nyumbani kwako
Matajiri wengi wa magari ya biashara hawajasoma hivyo hawafahamu mengi kuhusiana na sheria za kazi na hali za mfanyakazi
 
Uzoefu kazini
Matajiri wenye magari ya masafa waepuke sana kuwabana madereva hasa kwenye mileage na mafuta...ukijifanya mjuaji ukasafiri naye ama ukampa escort mnoko mafuta yataisha gari halijafika hata nusu ya safari
Wao madereva wana uendeshaji wao unaobalance mafuta hivyo waache waamini tuu
 
Yaani ni gari zozote kubwa na ndogo hata za mizigo pia ambazo wamiliki wake wako kwenye hizo nchi ambazo hazina bandari hivyo husafirishwa na meli mpaka bongo au Mombasa Kenya na kisha kutembezwa mpaka final destination
Hapo sasa nimeelewa babu, thanks
 
Ngoja nifanye maarifa ya kumiliki moja
Hapa unatafuta Side loader trailer tu. Hizo tela zipo ambazo zina mashine yake inayojitegemea Kwa ajili ya kutoa nishati itayotumika kunyanyua kontena na nyingine zinatumia nishati kutoka kwenye gari.

Saizi mpaka mchina ana tela zake za side loader.

 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]ngoja nipitie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…