Hii imekua shida kubwa sana mpaka kuwa kero yaani. Wanakera sana.Toka gazeti la mwananchi..malalamiko ya maderevaView attachment 1686455
The same to me too; Kuna Mmama mmoja Traffic pale Mbezi, Tangi Bovu hana kazi zaidi ya kuwaandikia 30 ya kuvuka zebra bila kusimama na anadai leseni kwa nguvu sana hana kauli nzuri hata kidogo.Last week nimeandikiwa 30 ya kuvuka zebra nikiwa highway...nilibishana nao mpaka kidogo tushikane mashati
Nadhani atakuwa huyo huyo mimi aliniandikia Kiluvya madukani..mweusi hivi anavaa miwaniThe same to me too; Kuna Mmama mmoja Traffic pale Mbezi, Tangi Bovu hana kazi zaidi ya kuwaandikia 30 ya kuvuka zebra bila kusimama na anadai leseni kwa nguvu sana hana kauli nzuri hata kidogo.
Jumatatu ile aliniandikia nikamwambia mbona nlisimama akasema uliondoka wakati bado watu hawajamaliza kuvuka kuna Mama ana mzigo sijui hajavuka. Daah!! Alinikera sana ni kama vile amevurugwa akilini anamtafuta wa kummalizia hasira zake.
SHAME!!
Aisee!! Ni Huyohuyo.Nadhani atakuwa huyo huyo mimi aliniandikia Kiluvya madukani..mweusi hivi anavaa miwani
Fuel pump ndio inaumia zaidiMadereva,hela ya mafuta ni kwa ajili ya gari sio kuipiga panga halafu gari linatembelea hewa.View attachment 1686487
Muda mwingine magari tunayaharibu wenyewe yaani. Unaambiwa uweke ya elfu50, unaweka kidebe cha elfu10. IFuel pump ndio inaumia zaidi
Nyasa huko ndo balaaaMakaa ya mawe wapi huko songea? Mkako au Muhukuru? Na kampuni ipi? KAMBAS, MCHEKANAO, au DIDI?
Hawa ni wale wakuletewa leseni nyumbani na kama kuna mahali serikali imeyumba ni hapa...pale TRA wanachojua ni kukusanya mapato tu..genuinity ya nyaraka za kufaulu driving hazipewi kipaumbele sanaKuna tabia baadhi ya madereva wanayo anakaa mbele yako anaenda taratibu afu ni high way unampigiaa hon anakuwa kama hakuskii na hakufai kulipita gar la mbele au dereva toyo anakaa kat kat unampigia hon hapish au anakutukana sa unajiuliza huyu hapish au anakutukana anajuaje unampigia hon gar yako imepata hitilafu labda break hamna? Kama gar yake inashida awashe hata hazard basi lakini wap ila wakiskia hon ya bus au scania wanaingia vichakan