Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Madereva wa mabasi wanamakusudi.
anakupigia honi kwa karaha anaomba njia umpe gepu mahala pasipo wezekana.alafu unakuta yupo mafuta na keshafika nyuma yako,ukimcheki kwenye side mira unamaona kama kagusa kabisa buti ya gari yako.
Madereva wa mabasi mkiwa barabarani mpunguze haraka.
Hapa Zakaria hawahusiki kwwli?
 
Unasikini huleta ubunifu wa ajabu
 

Driver- (3 Posts) at British High Commission
 
Hbarini za jioni wapendwa.
Naitwa Thomas Samuel. Mimi ni mwana taaluma mwenzenu (dereva). Nakuja kwenu nikiwa na ombi moja tu naamini ndugu yangu mshana jr alianzia uzi huu, ili Mungu ajipatie utukufu kwa ajili yangu

Wapendwa, nimekuwa juu ya mawe kwa muda, nikiwa sina ramani inayoeleweka kabisa, mara nyingi nimekuwa nikiunga unga tu ili kuweza kusukuma maisha.

Hivi karibuni nilikutana na mshikaji ambaye ni dereva na huyu alinipa rift toka Shinyanga to Mwanza na katika mazungumzo nikafunguka yangu, jamaa akaahidi kunitafutia nafasi kwenye taasisi yao.

Mungu mwema jamaa kaniunganisha na mmoja kati ya wenye maamuzi pale, ni.ekutana na jamaa akaahidi kunisimamia ili nipate nafasi pale.

Changamoto ninayokutana nayo hapa ni ile ya 'mkono mtupu haulambwi' natakiwa niwe na 500k ili kulainisha vyuma na kiukweli hapa nilipo serving yangu ni 200k nimepambana huku na kule lakini bado mambo hayajaninyookea kabisa.

Nakuja kwenu ili mnishike mkono kwa hiyo iliyosalia, naamini mtanisimamia ili nivuke hapa.
Napatikana kwa mawasiliano ya
0625 468 575

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Mungu awabariki.
Mungu ni mwema ngoja tupambanir tuone vile Mungu atanyoosha mkono wake
 

RC Chalamila: Dereva asizikwe hadi nitoe order. Serikali lazime ijue dereva huyo alifia wapi Polisi au Hospitali?
 
IMG-20210203-WA0158.jpg
 
Back
Top Bottom