Hbarini za jioni wapendwa.
Naitwa Thomas Samuel. Mimi ni mwana taaluma mwenzenu (dereva). Nakuja kwenu nikiwa na ombi moja tu naamini ndugu yangu mshana jr alianzia uzi huu, ili Mungu ajipatie utukufu kwa ajili yangu
Wapendwa, nimekuwa juu ya mawe kwa muda, nikiwa sina ramani inayoeleweka kabisa, mara nyingi nimekuwa nikiunga unga tu ili kuweza kusukuma maisha.
Hivi karibuni nilikutana na mshikaji ambaye ni dereva na huyu alinipa rift toka Shinyanga to Mwanza na katika mazungumzo nikafunguka yangu, jamaa akaahidi kunitafutia nafasi kwenye taasisi yao.
Mungu mwema jamaa kaniunganisha na mmoja kati ya wenye maamuzi pale, ni.ekutana na jamaa akaahidi kunisimamia ili nipate nafasi pale.
Changamoto ninayokutana nayo hapa ni ile ya 'mkono mtupu haulambwi' natakiwa niwe na 500k ili kulainisha vyuma na kiukweli hapa nilipo serving yangu ni 200k nimepambana huku na kule lakini bado mambo hayajaninyookea kabisa.
Nakuja kwenu ili mnishike mkono kwa hiyo iliyosalia, naamini mtanisimamia ili nivuke hapa.
Napatikana kwa mawasiliano ya
0625 468 575
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Mungu awabariki.