Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Mitaa ya Mwanga kuelekea Same usiku wa saa saba au nane lazima ukutane na mbuzi au punda wanajichunga peke yao,

Ni mimi tu hukutana nao au ipo namna!!!
IPO namna na akikatisha njia usimkwepe mpekelee bodi hivyo hivyo
 
Wewe ulipokuwa unapokea hela bila kudadisi hali ya njia, ulitegemea gari ikifika hapo ivukeje?

Tajiri anayethamini mali yake hawezi ruhusu gari iende popote tu bila kujua hali ya njia ikoje!!
Hoja ni kuingiza gari hapo, Dereva mwenye akili huwezi kubali kuingiza gari mahali kama hapo.. Mkatalie Tajiri kuwa hapa nilipofika ni mwisho, sisogezi gari zaidi ya hapa.. Akitaka atume Dereva mwingine
 
Kazi ngumu siku iz,bora izame tuchimbe ila sio kumwambia tajiri kuwa umeshindwa kupita,akituma dereva akaja ikapita we unazan utakuwa na kibarua hapo!
 
Hoja ni kuingiza gari hapo, Dereva mwenye akili huwezi kubali kuingiza gari mahali kama hapo.. Mkatalie Tajiri kuwa hapa nilipofika ni mwisho, sisogezi gari zaidi ya hapa.. Akitaka atume Dereva mwingine
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa mkuu husogezi gari zaidi ya hapo, ni unasubiri pakauke au?

Wenzako wanakuja wanapita hapo hapo, wanakuacha umepaki pembeni unasikilizia!

Huo mda mnaopoteza hapo, mtamfidia vipi mwenye mzigo kwa kumcheleweshea bidhaa zake? (Kumbuka habari za njia mbovu yeye hazijui )

Marehemu Anwar gari yake iliwahi kuanguka huko Congo jamaa akawa mbogo, ila alipoenda kushuhudia panavyofanana ndiyo ilikuwa mwisho wa gari zake kupita hiyo njia!
 
Tumeambiwa kuwa hiyo ndiyo hali halisi kwa sasa katika Barabara ya Mbeya - Makete! Mapembelo! Wasalipa! Mwabhomba! Aale!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…