Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Kaka habar yako. Nataka tu nikupe mrejesho wa mafunzo ya gari kuwa yanaendelea na jana nimepatiwa leseni ya lena toka TRA bado test free tu kulipia.
Changamoto ni pale VETA wanafunzi wengi hivyo mda wa kutest gari ni mfupi mno na sisi wengine hatuna hata pakujaribia sehemu nyingine. All in all naendelea na mafunzo
 
Asante kwa mrejesho na hongera sana mpaka hapo ulipofikia NAKUOMBEA
 
Asante kaka maana wewe ndiye uliyenipatia njia hii ninayopita na usichoke hadi mwisho wa safari yangu. I mean shule na baada ya mafunzo(mtaani)
Pamoja sana naahidi kuwa nawe bega kwa bega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…