Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah[emoji26][emoji26]
Huyu hata sijisumbui kumuangalia kwenye side mirror, macho ni mbere kwa mbere atajua mwenyewe!!
Kaka habar yako. Nataka tu nikupe mrejesho wa mafunzo ya gari kuwa yanaendelea na jana nimepatiwa leseni ya lena toka TRA bado test free tu kulipia.
Asante kwa mrejesho na hongera sana mpaka hapo ulipofikia NAKUOMBEAKaka habar yako. Nataka tu nikupe mrejesho wa mafunzo ya gari kuwa yanaendelea na jana nimepatiwa leseni ya lena toka TRA bado test free tu kulipia.
Changamoto ni pale VETA wanafunzi wengi hivyo mda wa kutest gari ni mfupi mno na sisi wengine hatuna hata pakujaribia sehemu nyingine. All in all naendelea na mafunzo
Asante kaka maana wewe ndiye uliyenipatia njia hii ninayopita na usichoke hadi mwisho wa safari yangu. I mean shule na baada ya mafunzo(mtaani)Asante kwa mrejesho na hongera sana mpaka hapo ulipofikia NAKUOMBEA