Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Mungu akujaalieKaka habar mm ni dreva wa Lori na hata gari ndogo nilikuwa naomba connection hata za IT napambana sana ila shida connection hata leo nilitoka uko uko....nafasi yeyote hile ya udreva napambana nao hata iwe pikipiki ama bajaji....kama unaconection namba yangu ni hi 0687354161
Cheti na leseni weka kwenye academic na ukimaliza kujaza automatically ajira portal watakupa asilimia za ukamilifu wa profile yako nida no ni muhimu[emoji120]Cheti na leseni na weka kwenye category ipi Kati ya professional na academic kwenye ajira portal
Kwa kweli ...nitamshukuru mungu na yeye piaMungu akujaalie
Mshana Jr ni mtu na nusu, hautopita bure mikononi mwake