Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

IMG-20221113-WA0190.jpg
 
Msaada wadau.
Vilainishi kwenye magari vimegawanyika ktk makundi matatu, elezea kwa kifupi makundi hayo.
 
Wanaitajika madereva wa magari 25

VIGEZO
-Umri miaka 25-45
-Waliopata mafunzo ya udereva ktk vyuo vinavyotambulika nchini i.e VETA,DIT na NIT
-Awe na leseni daraja C
-Uwe umeitimu angalau kidato cha nne
-Awe na akil timamu
-Awe tayal kufanya kazi ndani na nje ya Tanzania

Maombi yote yatumwe kupitia email [emoji391]

recruitment@dovegroup.co.tz

Barua ya maombi iwe na anwani ifuatayo

[emoji117]HUMAN RESOURCE MANAGER,
DOVE HOLDINGS GROUP LIMITED,
P.O.BOX 296,
DODOMA.

-Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/1/2023

Tupo;DSM,Arusha na Ddoma
 
Naitwa James Ilangali, nina miaka 36, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2005, napatikana Tabata Bima, Dar es salaam kwa sasa. Nina leseni madaraja A,B,C1,C2,C3, D na E.
Pia, nina cheti cha udereva cha VIP kutoka NIT pamoja na cheti cha udereva wa malori kutoka VETA. Nina uzoefu wa udereva wa kuendesha magari makubwa na malori wa miaka 10. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kama sales representatives wa bidhaa za vinywaji baridi.
Natafuta kazi ya udereva wa magari au malori, na kazi za sales kwa bidhaa mbalimbali na niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania.
Mawasiliano yangu:0683 899095/0768 899590.
Natanguliza shukrani.
 
Ukipata niunganishe na mimi
 
Back
Top Bottom