Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P. Pole sana kwa wafiwa na taifa kwa ujumla kwa kupoteza wajenzi wa taifa
Ukipata niunganishe na mimiNaitwa James Ilangali, nina miaka 36, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2005, napatikana Tabata Bima, Dar es salaam kwa sasa. Nina leseni madaraja A,B,C1,C2,C3, D na E.
Pia, nina cheti cha udereva cha VIP kutoka NIT pamoja na cheti cha udereva wa malori kutoka VETA. Nina uzoefu wa udereva wa kuendesha magari makubwa na malori wa miaka 10. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kama sales representatives wa bidhaa za vinywaji baridi.
Natafuta kazi ya udereva wa magari au malori, na kazi za sales kwa bidhaa mbalimbali na niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani ya Tanzania.
Mawasiliano yangu:0683 899095/0768 899590.
Natanguliza shukrani.