Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #241
Hii link haifunguki hebu fanya namna nyingine plsHapa unatafuta Side loader trailer tu. Hizo tela zipo ambazo zina mashine yake inayojitegemea Kwa ajili ya kutoa nishati itayotumika kunyanyua kontena na nyingine zinatumia nishati kutoka kwenye gari.
Saizi mpaka mchina ana tela zake za side loader.
Sent using Jamii Forums mobile app