Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Always.God is good
Nakukumbuka usijali
Hii miujiza huwa inasimuliwa kiutani utani na kama stori zinazosisimua na kuchekesha ila yana ukweli ndani yake.
Weka maelezo kidogo kama unayo
Kwa jinsi mwenye hii gari alivyokuwa anaipenda.. sijui tu anajihisi namna gani!!!
Thank you kwa infosWatu watatu wamefariki dunia huku saba wakijeruhiwa baada ya Basi la Zuberi linalofanya safari za Mwanza - Kahama kugonga kingo za daraja na kupinduka katika eneo la Mwigumbi Mkoani
Huyu hakufunga mkandaDereva bi Halima apoteza mkono wa kulia[emoji25]View attachment 2234893
Huyu alikuwa kaiva haswaaaBasi la Kampuni ya Mohammed Clasic lililokuwa likitoka Mkoani Arusha kuelekea Kigoma limegongana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha Ming'enyi Wilaya ya Hanang' Mkoa wa Manyara na kusababisha vifo vya Watu watatu na majeruhi 26.
RPC Manyara, Benjamin Kuzaga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amesema fuso lilikuwa limetoka mkoani Tabora kuelekea Kilimanjaro likiwa limebeba mchele "Chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa basi kutokuzingatia alama za barabarani"
"Waliofariki ni Msaidizi wa dereva wa fuso, Msaidizi wa dereva wa basi pamoja na utingo wake, dereva wa basi ametoroka kusikojulikana tunaendelea kumtafuta kwa kusababisha ajali na kugharimu maisha ya Watu na majeruhi na hatua kali zitachukuliwa"
"Majeruhi ni Wanaume 14, Wanawake 10 na Watoto wawili ambao wote wapo katika Hospitali ya Tumaini Kateshi"
#ajali_sasa_basiView attachment 2237783