Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Yah ni kweli kabisa,hata sijui kwanin watu wanazarau haya magari kiasi hiki,,mi mwenyewe nimewai kutoka dar mpk mza kwa Ist kwa masaa 12 non stop
habari mkumbwa nataka kununua gai ila natamnai ninunue vitz ya 2005 au passo heb nishaur mkubwa kwan naona una urlewa na haya mambo thanks
J33 sijaidharau asilani jamaa aliulizia nonstop na si passo tu gari yeyote ile hata kama inafika bila wasiwasi lakini si jambo jema hata kwa dereva mwenyeweNakuhedhimu broo hasa mchango wako mkubwa kwenye uzi huu ila naomba nipingane na ww katika hili. Niliwahi kutoka Arusha
to Bukoba na passo niliposima ilikuwa ni mapumziko ya kawaida tu kwa ajil ya chakula. Na nikatoka Misenyi nikaja kulala Moeogoro. Tusiidharau sana Passo
J33 sijaidharau asilani jamaa aliulizia nonstop na si passo tu gari yeyote ile hata kama inafika bila wasiwasi lakini si jambo jema hata kwa dereva mwenyewe
Magari yote ya Ford hasa ya kisasa nikimaanisha kuanzia miaka ya 1992 yana umeme mwingi sana, kwa mujibu wa magari yote ya kisasa,yanapokua na hitilafu ni jambo la muhimu sana kufanya computer diagnostics, kwa bahati mbaya sana Ford hawaruhusu software zao kwenye scan tool nyingi, hii hupelekea scan tool nyingi kushindwa kuzisoma Ford mpaka fundi awe na scan tool ya Ford yaani Ford VCI,kwahoyo mafundi wengi wanashindwa kuzihudumia Ford kwa ufasaha.
Eng. Mollel
wadau habarini nina gari suzuki escudo old model nikiiwasha inatoa moshi mwingi mweupe lakini baada ya muda moshi huo unakata jee hili ni tatizo au ni kawaida?kama ni tatizo tiba yake ni nini?
Habari naomba kujua kunawakati unapoendesha gari ukapishana na gari lingine dereva wa hill gari unalopishana nalo ANAKUWASHIA INDICATOR Ya upande wake hivi huwa anaashiria nini?
Samahann wakuu heshima yenu wote hum
Nilikua nashida ya kujua kati ya vitz na starlet ipi ipo vizur zaidi kweny uimara na fuel consumption
Angalizo: usije ukadhani dereva wa gari la mbele yako anao wajibu wa kukujulisha kama kuna gari linakuja ama laa...wajibu huo ni wako dereva mwenyewe
Ninavyofahamu vits is more economy kulinganisha na starlet mana kuna vits hadi A cc 900 ila kwa uimara starlet ni jiwe..