Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Yah ni kweli kabisa,hata sijui kwanin watu wanazarau haya magari kiasi hiki,,mi mwenyewe nimewai kutoka dar mpk mza kwa Ist kwa masaa 12 non stop
Ist haina shida kwa mwendo huo, mdau anataka kujua kuhusu passo ambayo kiutendaji si kama ist , mjuze kuhusu passo kwa mwendo huo mrefu dar hadi mwanza bila kupumzika