Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Fuel: Petrol
Tank capacity: 72L
Fuel consumption :Combined (L/100Km) 10.6
:Urban (L/100Km) 14.4
:Extra Urban (L/100Km) 8.4
Note:Fuel consumption will vary depending on driving conditions/style, Vehicle conditions,Options/Accessories

Engine Code : 2GR-FC
CC : 3456

Seating Capacity: 7

Bei itategemeana na uzao wa gari na hali yake
 
Habari naomba kujua kunawakati unapoendesha gari ukapishana na gari lingine dereva wa hill gari unalopishana nalo ANAKUWASHIA INDICATOR Ya upande wake hivi huwa anaashiria nini?
 
Anamuashiria mtu wa nyuma asimpite kwakuwa kuna gari linakuja
 
Kuna kuwa hajuna MTU kabisa aliyekaribu yake na je anapokuwashia full light na kuzima anamaanisha nini?
 
Jamani nduguyangu mshana gari yangu nikiweka mafuta ya kuanzia elfu kumi yanaisha mapema sana tofauti na nikiweka ya elfu hamsini tatizo huwa ninini mpwa?
 
Hahahahaaaaaaa dagii ukiagiza bia moja na bia tano kwa mkupuo muda wa kunywa utakuwa sawa kweli?
 
Last edited by a moderator:
Itahitaji ufanye nini? Je ni kwenda hadi Singida ulale pale au upuumzike angalau masaa mawili? Au haiwezekani totally

Vema kupumzika Dodoma hata singida si mbaya si vema kuendesha mwendo mrefu bila kupumzisha gari
 
Hapana kabisa

Nakuhedhimu broo hasa mchango wako mkubwa kwenye uzi huu ila naomba nipingane na ww katika hili. Niliwahi kutoka Arusha

to Bukoba na passo niliposima ilikuwa ni mapumziko ya kawaida tu kwa ajil ya chakula. Na nikatoka Misenyi nikaja kulala Moeogoro. Tusiidharau sana Passo
 
Yah ni kweli kabisa,hata sijui kwanin watu wanazarau haya magari kiasi hiki,,mi mwenyewe nimewai kutoka dar mpk mza kwa Ist kwa masaa 12 non stop
 
Nakuhedhimu broo hasa mchango wako mkubwa kwenye uzi huu ila naomba nipingane na ww katika hili. Niliwahi kutoka Arusha

to Bukoba na passo niliposima ilikuwa ni mapumziko ya kawaida tu kwa ajil ya chakula. Na nikatoka Misenyi nikaja kulala Moeogoro. Tusiidharau sana Passo

Mkuu Arusha to Bukoba ni km ngapi? Na kutoka Bukoba hadi Morogoro ni km?
 
wadau habarini nina gari suzuki escudo old model nikiiwasha inatoa moshi mwingi mweupe lakini baada ya muda moshi huo unakata jee hili ni tatizo au ni kawaida?kama ni tatizo tiba yake ni nini?
 
Back
Top Bottom