Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari naomba kujua kunawakati unapoendesha gari ukapishana na gari lingine dereva wa hill gari unalopishana nalo ANAKUWASHIA INDICATOR Ya upande wake hivi huwa anaashiria nini?
Anamuashiria mtu wa nyuma asimpite kwakuwa kuna gari linakuja
Jamani nduguyangu mshana gari yangu nikiweka mafuta ya kuanzia elfu kumi yanaisha mapema sana tofauti na nikiweka ya elfu hamsini tatizo huwa ninini mpwa?
Hiyo ndio siri ya kudumu nayo
Hapana kabisa
Hapana kabisa
Hapana kabisa
Nakuhedhimu broo hasa mchango wako mkubwa kwenye uzi huu ila naomba nipingane na ww katika hili. Niliwahi kutoka Arusha
to Bukoba na passo niliposima ilikuwa ni mapumziko ya kawaida tu kwa ajil ya chakula. Na nikatoka Misenyi nikaja kulala Moeogoro. Tusiidharau sana Passo