Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

sijaelewa hapa tipa na canter au dyna?? ila kwenye bei sijui kwa kweli.

Mkuu RRONDO nilikuwa namaanisha , Toyota Dyna tipa na Mitsubish canter zote zikiwa tipa na tani tatu na robo, je ni ipi bora kati ya hizo?? Na kwa Dar wapi ninaweza kuzipata??
 
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?

Kama unaipenda gari yako usiweke oil ya hovyo hovyo tu jitahidi uweke ya BP
 
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?

Hakuna madhara ila kwa afya ya engine ukiweza weka kitu genuine
 
Wadau nataka nimpeleke kijana wangu DRIVING SCHOOL, naomba wadau mnifahamishe ni driving school gani nzuri, iko wap na bei gani nimpeke kijana. Asanten.
 
Vip wadau mwenye uzoefu na gari aina ya PEUGEOT 307 kuhusu bei na upatikanaji wa vipuri.
 
Peogeot kaka jipange utalipaki sooon,me ninayo mawili yamezingua control bix hakuna east africa na dubai zinapatikana kwa kilo sita so mpwa jipange
 
ok vip kama nikianza na engine oil ya Bp pamoja na filter .this time then baada ya mwezi nikabadilisha oil ya gear box je hii formula itakua ok?

Hapana kaka....ile.ukiweka ya BP kama gari bado mpya mpya inatembea km 5000 sasa unajiandaa mapema usichakachue mkuu....gangamala bana
 
I have seen this video long time...
Pamoja na kuwa tangazo la biashara, subaru has managed to create one of the best mini SUV in the market with its cutting edge technology...
Hata ukiangalia Subaru zilizo mitaani, zina perform superb...
 
Peogeot kaka jipange utalipaki sooon,me ninayo mawili yamezingua control bix hakuna east africa na dubai zinapatikana kwa kilo sita so mpwa jipange

Duuuuu! Si mchezo. Asante sana mkuu kwa alert. Ndo umuhimu wa uzi huu.
 
Sure mpwa njoo tegeta nayauza mwezi wa 4 huu sijapata mteja labda kama unaweza njoo mkuu tutaelewana
 
Duuuuu! Si mchezo. Asante sana mkuu kwa alert. Ndo umuhimu wa uzi huu.
habari mkumbwa nataka kununua gai ila natamnai ninunue vitz ya 2005 au passo heb nishaur mkubwa kwan naona una urlewa na haya mambo thanks
 
Back
Top Bottom