Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwahi ni vigari vizuri na vigumu
Wapo wadau watakuja kukupa mwongozo
Langu ninalotaka kukwambia ni hili kama huna rohombaya na kama huna muda wa kutosha kufuatilia achana na hiyo biashara
Kaka mshana naomba uzoefu wako juu ya suzuki swift..maana mie napendelea sana gari yenye deef ..na nimeambiwa swift kuna zenye deef na ambazo hazina deef ..je hapo unazitambuaje...
Asante
pana gari IPO Dalali 1966 - Nyumbani
naomba mucheki mnipe ushauri
nimtake anipe nn
ni ya 1998 he c kitambooo
Odo meter namba zinafaida ipi katika gari?
Hasa hasa kujua umbali wa gari iliyotembea hasa ukireset zero
Kuna siku niliacha gari kwa fundi halafu ONDO nikareset 0 ilikuwa ijumaa, tulikubaliana niichukue gari jumanne iliyofuata yani siku nne baadae!siku ananikabidhi gari ilikuwa imetembea km 68 nilimweleza kuhusu hilo na nikamkata hela