Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Naomba mwenye uzoefu na magari aina ya nissan upatikanaji wake wa spare,nataka kuagiza nissan dualis,kibongobongo sijaziona nyingi barabara nawaza maybe tatizo ni spare mwenye mchango tafadhari.

Hizi gari ziko nyingi sana Australia, ni za kawaida kama SUV (sport utility vehicle) ingawa nimeona watumiaji wengi wanazilaumu kukosa nguvu hasa kama utakua unafanya towing.

Ukiweza chukua Suzuki Escudo 2006 or later ziko vzr sana pia
 
Ila ku reset ODOMeter as in total mileage traveled by a vehicle ni complicated kidogo.

Kwa hiyo ku reset "ODO Meter as in total mileage traveled by a vehicle" wanafanya mafundi tena waliobobea ktk fani.?!
 
Mshana jr heshima yako mkuu, naomba kujua uimara wa Toyota Dyna na Mitsubish canter za tani tatu na robo tipa ya kubebea mchanga.. je ni ipi imara zaidi kati ya hizo? Na je naweza kuzipata wapi hapo Dar..??na bei zake kwa kadirio la juu zinaweza kufika shilingi ngapi za kitanzania..Natanguliza shukrani
 
Mshana bwana mpaka huku upo?twenzetu kule bwana naona kunamzigo mpya ngoja nikaupakue
 
Mshana jr heshima yako mkuu, naomba kujua uimara wa Toyota Dyna na Mitsubish canter za tani tatu na robo tipa ya kubebea mchanga.. je ni ipi imara zaidi kati ya hizo? Na je naweza kuzipata wapi hapo Dar..??na bei zake kwa kadirio la juu zinaweza kufika shilingi ngapi za kitanzania..Natanguliza shukrani

Kaka hapa nafikiri RRONDO ndio anaweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujibu ngoja aje
 
Last edited by a moderator:
Hasa hasa kujua umbali wa gari iliyotembea hasa ukireset zero
Kuna siku niliacha gari kwa fundi halafu ONDO nikareset 0 ilikuwa ijumaa, tulikubaliana niichukue gari jumanne iliyofuata yani siku nne baadae!siku ananikabidhi gari ilikuwa imetembea km 68 nilimweleza kuhusu hilo na nikamkata hela

siku ingine uki reset 0 wataiendesha halafu wata reset 0 tena! cha kufanya record km na si trip counter.
 
Kwa hiyo ku reset "ODO Meter as in total mileage traveled by a vehicle" wanafanya mafundi tena waliobobea ktk fani.?!

Yes, mafundi umeme wa magari huwa wanafanya saana hiyo kitu. Ingawa nahisi kuna njia rahisi ya kureset, hasa zile zenye digital display, maana ni kitu cha muda mfupi tu.
 
mkuu kuna nini hapa?

Heshima kwako mkuu RRONDO niliuliza siku za nyuma kuhusu toyota Cami model J100E,kwamba matumizi yake ya mafuta yapo juu ni kilometa 6 kwa lita 1.Mkuu mshana akasema sio kawaida kuna tatizo na wewe unaweza kujua tatizo ni nini.
 
ni ngumu kusema moja kwa moja tatizo ni nini. inaweza kuwa moja ya hivi nozzles,spark plugs,coil,air filter,fuel filter etc. jaribu kufanya diagnosis upate uhakika.
 
Mhh,haya Mambo ya kutaka uwe na gari tofauti na wenzio,mwisho wa siku unauza kimya kimya kwa bei ya hasara tofauti na wenzio.
 
Kuna prado yangu hapa imeanguka nikainyoosha now inatatizo la mtetemo mkubwa sana wa engine nikiwasha ikawa silence ila nikikanyaga mafuta inaacha shida nini?
 
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?
 
Back
Top Bottom