sijaelewa hapa tipa na canter au dyna?? ila kwenye bei sijui kwa kweli.
Mkuu RRONDO nilikuwa namaanisha , Toyota Dyna tipa na Mitsubish canter zote zikiwa tipa na tani tatu na robo, je ni ipi bora kati ya hizo?? Na kwa Dar wapi ninaweza kuzipata??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaelewa hapa tipa na canter au dyna?? ila kwenye bei sijui kwa kweli.
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?
Kama unaipenda gari yako usiweke oil ya hovyo hovyo tu jitahidi uweke ya BP
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako.ni ngumu kusema moja kwa moja tatizo ni nini. inaweza kuwa moja ya hivi nozzles,spark plugs,coil,air filter,fuel filter etc. jaribu kufanya diagnosis upate uhakika.
mh mshana na wazoefu wengine nataka kubadilidha engine oil na oil ya gear box , pamoja na filter lakini nataka niweke ile ya bei chip ambayo nitaitumia ndani ya miezi mitatu ila baada ya hapo nataka niweke oil ya Bp je kuns athari zozote kwenye gari.¿?
ok nimekupata mkuu, je hakuna oil nyingine nzuri ya bei chip ninayo weza weka kwa emergency?
Dah...jaribu za Gapco walau mkuu
ok vip kama nikianza na engine oil ya Bp pamoja na filter .this time then baada ya mwezi nikabadilisha oil ya gear box je hii formula itakua ok?
Hapana kaka....ile.ukiweka ya BP kama gari bado mpya mpya inatembea km 5000 sasa unajiandaa mapema usichakachue mkuu....gangamala bana
Peogeot kaka jipange utalipaki sooon,me ninayo mawili yamezingua control bix hakuna east africa na dubai zinapatikana kwa kilo sita so mpwa jipange
habari mkumbwa nataka kununua gai ila natamnai ninunue vitz ya 2005 au passo heb nishaur mkubwa kwan naona una urlewa na haya mambo thanksDuuuuu! Si mchezo. Asante sana mkuu kwa alert. Ndo umuhimu wa uzi huu.