Gari lenye 4WD Ina traction zaidi( more tyre gripping, more traction, more power).
Sawa nakubaliana na wewe mkuu tatizo magari mengi madogo ya 4wd yanakua ni full time 4wd hivyo yanakula mafuta na hata engine huchoka haraka
Labda kwa tafsiri ya nan stop kwamba hata kunawa uso hakuna na kwa dereva mmoja nadhana hata v8 si salama.
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV
mito tv ni kitu cha ziada tu kuna gari ambazo zina hiyo option tangu kiwandani lakini nyingine ni modification
Radio zinazotoka na Freelander zinakua na pin code, ukitoa battery ya gari,au ukiitoa radio kwenye gari ukijakuirudisha redio yako ,haitawaka Bali itakudai pin code, sasa ukiuziwa radio ya FreeLander bila kupewa pin code umeliwa, haitafanya kazi,na hii ni kwa original radio zote za Landrover familly, kuwa makini!
Wakuu na vipi nikitaka kufunga tu LCD (sina uhakika na jina) ili niwe naangalia movies huku naendesha gari, hapo inabidi kununua redio nyingine au hiyo hiyo iliyomo kwenye gari inaweza fanyiwa modification nikaweza kuangalia DVD??
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV
Kuhusu FreeLander na Landrover zote kwa ujumla, yaani Defender,Freelander,Discovery na Range rover mnaweza kuniuliza maswali mengi muwezavyo hapa,
Nikianzia na FreeLander kwenye swami lako la msingi:
Matoleo ya mwanzo kabisa ya FreeLander yalipewa Polisi, baada ya warrant Kwisha FreeLander hizo zilipelekwa kwa mafundi wa mtaani kwa matengenezo nadhani kwa kuwa CMC, ambao ni wakala gharama zao za matengenezo ziko juu sana,kwa bahati mbaya sana magari nayo yanatumia Umeme mwingi sana wa ki-electroniki( electronic control systems) na pia yana complicated security system, na yakishakua na security issue ufumbuzi pekee kwa wakati huo ni CMC, ugumu huo ukapelekea mafundi kushawishi suluhisho pekee ni kubadilisha injini, ( weka injini ya RAV4, crazy!), dhana hiyo ikaacha kovu kwamba FreeLander hazitengenezeki, ila FreeLander ni magari mazuri sana tu, very comfortable, 4WD, n.k.
Natumaini unauliza Toyota Harrier na Toyota KlugerWakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari
Wakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari
Duu, Toyota Gluga, mtu kama huyu hivi anaweza hata kusoma user manual ya gari kweli? Masikini ya Mungu. Hii ni legacy ya ile mitihani ya darasa la saba, ulikuwa ukifeli ule mtihani na huna uwezo wa private school you are doomed for life.Wakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari