Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari lenye 4WD Ina traction zaidi( more tyre gripping, more traction, more power).

Sawa nakubaliana na wewe mkuu tatizo magari mengi madogo ya 4wd yanakua ni full time 4wd hivyo yanakula mafuta na hata engine huchoka haraka
 
Mkuu Kitotonya sio magari yote madogo yanakuwa ni full time 4wd..mfano Toyota cami zipo ambazo sio full time 4wd ..huwa zina button maalum ukiibonyeza tu ndio unapata 4wd..
 
Labda kwa tafsiri ya nan stop kwamba hata kunawa uso hakuna na kwa dereva mmoja nadhana hata v8 si salama.

Mkuu J33 pamoja na mkuu mshanajr lengo langu la kusema "non stop" nilimaanisha mwendo wa kwenda kwa siku moja ingawa kutakuwa na mapumziko mengi tu njiani ambayo ni takribani masaa 3 ukijumlisha muda wote na sio non stop ya kuwasha gari ubungo na kuzima nyegezi.
 
Last edited by a moderator:

Ok sawa lakini kwa tafsiri ya non stop ni bila kusimama
 
Last edited by a moderator:
Naomba kama kuna MTU amewahi kuagiza gari kupitia kampuni ya CARDEAL PAGE ya Kijapan anisaidie kama hawana SHIDA yoyote.asanteni.
 
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV

mito tv ni kitu cha ziada tu kuna gari ambazo zina hiyo option tangu kiwandani lakini nyingine ni modification

Wakuu na vipi nikitaka kufunga tu LCD (sina uhakika na jina) ili niwe naangalia movies huku naendesha gari, hapo inabidi kununua redio nyingine au hiyo hiyo iliyomo kwenye gari inaweza fanyiwa modification nikaweza kuangalia DVD??
 
Habari wadau, naomba kujulishwa wapi ntapata redio ya freelander inayotumia dvd,tafadhali!
 
Radio zinazotoka na Freelander zinakua na pin code, ukitoa battery ya gari,au ukiitoa radio kwenye gari ukijakuirudisha redio yako ,haitawaka Bali itakudai pin code, sasa ukiuziwa radio ya FreeLander bila kupewa pin code umeliwa, haitafanya kazi,na hii ni kwa original radio zote za Landrover familly, kuwa makini!
 
Uimara wake ukoje hizi Freelander mkuu?
 
Kuhusu FreeLander na Landrover zote kwa ujumla, yaani Defender,Freelander,Discovery na Range rover mnaweza kuniuliza maswali mengi muwezavyo hapa,
Nikianzia na FreeLander kwenye swami lako la msingi:
Matoleo ya mwanzo kabisa ya FreeLander yalipewa Polisi, baada ya warrant Kwisha FreeLander hizo zilipelekwa kwa mafundi wa mtaani kwa matengenezo nadhani kwa kuwa CMC, ambao ni wakala gharama zao za matengenezo ziko juu sana,kwa bahati mbaya sana magari nayo yanatumia Umeme mwingi sana wa ki-electroniki( electronic control systems) na pia yana complicated security system, na yakishakua na security issue ufumbuzi pekee kwa wakati huo ni CMC, ugumu huo ukapelekea mafundi kushawishi suluhisho pekee ni kubadilisha injini, ( weka injini ya RAV4, crazy!), dhana hiyo ikaacha kovu kwamba FreeLander hazitengenezeki, ila FreeLander ni magari mazuri sana tu, very comfortable, 4WD, n.k.
 
Wakuu na vipi nikitaka kufunga tu LCD (sina uhakika na jina) ili niwe naangalia movies huku naendesha gari, hapo inabidi kununua redio nyingine au hiyo hiyo iliyomo kwenye gari inaweza fanyiwa modification nikaweza kuangalia DVD??

Waweza fanya hizo mods bila shida kutegemeana na radio iloyopo lakini haishauriwi kabisa kwa dereva kuangalia TV au DVD wakati anaendesha
 
TV ni modification, magari yanayotoka na TV kiwandani ukiweka gia tu tayari kwa safari TV inazima, kwa Toyota zote original TV inaweza kuwaka tu lakini hutapata Chanel hata moja mpaka uweke parking brake( mtaani inaitwa hand brake), kwamaana Hiyo huwezi juendesha gari na wakati huohuo unaangalia TV

Sasa mkuu vp zile Radio ambazo huwa na TV moja kwa moja lakini sio Orijino kutoka Toyota, nazo huwa na mfumo huu unaosema zinapotakiwa kufungwa kwenye magari?
 
Wakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari
 
Kuhusu FreeLander na Landrover zote kwa ujumla, yaani Defender,Freelander,Discovery na Range rover mnaweza kuniuliza maswali mengi muwezavyo hapa,
Nikianzia na FreeLander kwenye swami lako la msingi:
Matoleo ya mwanzo kabisa ya FreeLander yalipewa Polisi, baada ya warrant Kwisha FreeLander hizo zilipelekwa kwa mafundi wa mtaani kwa matengenezo nadhani kwa kuwa CMC, ambao ni wakala gharama zao za matengenezo ziko juu sana,kwa bahati mbaya sana magari nayo yanatumia Umeme mwingi sana wa ki-electroniki( electronic control systems) na pia yana complicated security system, na yakishakua na security issue ufumbuzi pekee kwa wakati huo ni CMC, ugumu huo ukapelekea mafundi kushawishi suluhisho pekee ni kubadilisha injini, ( weka injini ya RAV4, crazy!), dhana hiyo ikaacha kovu kwamba FreeLander hazitengenezeki, ila FreeLander ni magari mazuri sana tu, very comfortable, 4WD, n.k.

Mkuu hawa FORD hawana wawakilishi wao hapa Dar.
 
Wakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari

Hope unauliza kluger Vs Harrier,
Zote ni gari nzuri sana kulingana na mahitaji ya mhusika, kwenye uzi huu zimeelezwa tofauti ya gari hizi kulingana na mahitaji, narudia kidogo~~ Harrier zimegawanyika sana 1st generation model 1998 -2002 2nd generation kuanzia 2003 nk kwetu hapa tunaziita New model, za mwanzo zipo zenye cc2160 5s engine hizi ni nzuri sana, pia zipo cc 2960 mara nyingi zimeandikwa 3.0 hizo ni V6 sikufichi zinakunywa mafuta, watumiaji kwenye uzi huu wanasema zina matatizo ya gearbox, hili na mimi nalifahamu, ila kwa ushauri waswahili tuna kawaida ya ku-abuse magari hasa kutofanya service ama hatufanyi service ipasavyo hivyo kuharibu magari,

KLUGER inavumilia sana abusement, inakwenda sana rough road, suspension nzuri sana offroad na itakuvumilia kwa muda mrefu , Harrier haitakuvumilia, ila kluger zipo 2AZ engine cc2360 inatambulika kama 2.4 VVTI hii ni nzuri na inakunywa mafuta vzr sana, pia zipo kluger zenye 3.0 hizi zinakunywa mafuta mengi kwa kweli, usisahau kuwa harrier hasa 2nd generation model zina features nyingi, highly luxury na very comfortable zinafaa sana hapa hapa mambo ya mjini, offroad utaiharibu mapema, mwisho kiuchaguzi inategemea uko wapi, matumizi yako ni shamba au city centre, HAYO NI MAONI, venturing offroad mara nyingi Kluger, mjini mjini Harrier na zingatia service
 
*****AUTOCOM JAPAN***** WAUZAJI WA MAGARI USED KUTOKA JAPAN YENYE UBORA WA HALI YA JUU. OFFISI ZETU ZIPO: QUALITY CENTER – Nyerere/Pugu Road, [UCHUMI SUPERMARKET]
SHOP G4, GROUND 1 EAST EXIT
P.O. Box 40563, Dar Es Salaam, TANZANIA
TUPIGIE SIMU/WHATSSAP: +255 767328063
Email: msuya@autocj.co.jp
WEBSITE: Japanese Used Cars | Autocom Japan
 
Wakuu nauliza hivi kati ya toyota haria na toyota gluga ipi ni the best?majibu tafadhari
Duu, Toyota Gluga, mtu kama huyu hivi anaweza hata kusoma user manual ya gari kweli? Masikini ya Mungu. Hii ni legacy ya ile mitihani ya darasa la saba, ulikuwa ukifeli ule mtihani na huna uwezo wa private school you are doomed for life.

Toyota Gluga.
 
Back
Top Bottom