Je naweza kubadili namba ya gari kutoka A hadi D?
Mwenye kuhitaji ani pm number nimuunganishe kwenye group la whatsapp kuhusu mada maalum ya magari,kuuza,kununua na ushauri.mshana jr atakua admn
Hiyo ni namba ya usajili wa gari kwahiyo haiwezi kubadilika. Mkuu kwani namba A ina shida gani?
Mwenye kuhitaji ani pm number nimuunganishe kwenye group la whatsapp kuhusu mada maalum ya magari,kuuza,kununua na ushauri.mshana jr atakua admn
Hakuna shida kabisa
Nina Honda CRV nimeanza itumia siku za karibuni, nataka kubadili oil kwenye ka diff. kadogo katikati nyuma.
Oil hiyo ndo iliyokuja nayo toka Japani sasa naibadili.
1) Oil gani bora? Nipe spacefications zake.
2) Baada ya kuiweka niibadili tena baada ya km ngapi?
Nitashukuru kwa majibu yenye uhakika.
Wakuu group la whatsapp lipo hewan tayari,Ni pm number yako au kwa mshana jr uweze kua added.
Ok tutafanya hivyo
Natafuta hiki kifaa haraka wapi naweza kukipata ?View attachment 272649
Je naweza kubadili namba ya gari kutoka A hadi D?
Ok tutafanya hivyo
Nenda kwenye garages za Nissan ndo utapata ufumbuzi wa tatizo lako haraka.