Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Toyota harrier model iloliyo nzur....lkn isiwe new model...bei mkas....

Okay kwa model ya zamani nzuri andaa 18-20M hivi unaivuta. Hizi new model kuanzia 2003 bei zake mkasi sana. Kuna toleo la kati 2001-2002 zenyewe show room kwenye 22M but ukiagiza (sio za hawa jamaa wa rahisi wanaojitangaza sana) bei haifiki huko
 
Mkuu mweleze gari za juu kwenye safari hazifai maana kwenye kona huwa lazima upunguze mwendo lakini kama gx 110 na mark x au crown unalala nayo tu !

Mkuu kiusalama si lazima apunguze mwendo maana licha ya hatari ya kupinduka kuna ile huoni mbele vizuri unaeza kuta jamaa ameovertake huko...defensive driving
 
Jamani mi nataka Starlet kama mtu anayo na iko vizuri yamkini anataka kubadilisha gari au ana namna nyingine ya uhitaji aniuzie,bajeti yangu ni 4M.kama unayo niPM
 
Kama hii tafadhari
 
Attachments

  • 1439573862259.jpg
    1439573862259.jpg
    9.6 KB · Views: 245
Mkuu kiusalama si lazima apunguze mwendo maana licha ya hatari ya kupinduka kuna ile huoni mbele vizuri unaeza kuta jamaa ameovertake huko...defensive driving

Kona za iovyi unaona mbali pamoja na kwamba ni nyingi!
 
Mkuu mweleze gari za juu kwenye safari hazifai maana kwenye kona huwa lazima upunguze mwendo lakini kama gx 110 na mark x au crown unalala nayo tu !

Mno mno mno
 
Kona za iovyi unaona mbali pamoja na kwamba ni nyingi!

Hahaa weka mbali na watoto mkuu hukawii kudondoka anyway kimsingi kila gari wamecalculate centre yake ya gravity na wametest kwa hizi ndogo unaeza kulala nayo ila kuna limit yake pia. Kadhalika kubwa sema tusiangalie kona tu tuangalie na factors nyingine
 
Kubwa ni kwenye off road lakini kama huendi huko Mimi napenda za chini huwa zimetulia sana!
 
Msaada kwa anayefahamu ubora wa hizi Suzuki ukizingatia uimara wake,upatikanaji wa spea na ulaji wa mafuta.
 
Attachments

  • 1439575629871.jpg
    1439575629871.jpg
    34.3 KB · Views: 225
Kubwa ni kwenye off road lakini kama huendi huko Mimi napenda za chini huwa zimetulia sana!

Yeah na hapo ndo ubora wa SUV unaapoonekana.....hakuna kung'ata meno mkuu unasonga tu
 
Back
Top Bottom