Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nashukuru kwa msaada ila naomba ufafanuzi kwanini umetoa angalizo lakutokuwa gari yangu ya kwanza?.Malengo yangu ni kwamatumizi yakifamilia na mimi siyo mtu watotoz mkuu.

Okay nasema isiwe your first car because
1. They aren't so common in Tz hasa hizi version za 2005>
2. Rangi zake ni very expensive, nyingi ni zelalic ambayo lita 1 sio chini ya laki 2

Kuzingatia kama ndio gari ya kwanza utaiscratch mno kwa kugongana, kuparuzwa, reverse etc ni tofauti na rangi za metallic ambazo ni common kwa magari mengi. Na ukiwa unaanza kudrive most likely utakwangua kwangua sana gari
 
Nashukuru sana kwa msaada wako na nimekuelewa.
 
BF291261_d9c5aa.jpg Wataalam naombeni undani wa hizi Honda elysion, zimenivutia hasa kwa familia
 
Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu

Ni gari ndogo yenye comfortable seating. ..mafuta ni 14km/lt...inahimiri mikiki mikiki ya rough road. ...
 
Nilikuwa na nia ya kununua gari hilo ila kwa sasa umebadili mawazo yangu. Asante kwa reply yako kaka.

kaka gx 100 unywaji wa mafuta ni wakawaida tu, wala usitishwe na maneno ya kuambiwa!!
 
Tatizo probox hazina shape nzuri tu

Ni kweli kaka naukichunguza gari nyingi ambazo ni 'roho ya paka' huwa body yake haikutengenezwa ki mayai mayai.mfano ni hizi corona premio zenye engine za 7A,5A ni gari nzuri na ngumu ila hazina mvuto kama jamii yake new model ambazo zina mfumo wa vvti na ambazo ni delicate.
 
Mshana nami naombwa kuingizwa kwenye group ya whatsapp ya magari. 0754 589693
 
Selekwa kuna shida kwenye app yangu ya whatsapp ndo maana unaona kimya ila Angelo akipita huku atafanya mambo

Bro Mshana nili quite group mada ni chache upande wa magari.Mengi ni maongezi ambayo siko interested sana..nimeaamua kubaki huku tu naona ninatosha sana.Thank you for your regards Bro Mshana l real appreciate you.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom