Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu naomba kujuzwa ni Hiace model gani yenye engine nzuri na body ngumu.
Nafikiria kununua kwa ajili ya usafiri maeneo ya kijijini ambapo barabara sio nzuri
Msaada wenu tafadhali.
 
Naombeni msaada wadau. Nataka kununua volskwragen touareg ya mwaka 2004, V6 yenye cc 3180, nataka nifahamu ulaji wa mafuta na upatikanaji wa vipuri. Nataka kuinunua hasa kwa matumizi ya kutembelea hapa mjini na safari ndefu. Asante.
 
Kwa watu wanaozitumia na kufuata masharti yake sijasikia wakilalamika na ualaji wake wa mafuta ni mzuri sana ukilinganisha na toyota. Ila ukinunua usirumie mafundi wa kubahatisha
 
Wakuu naomba kujuzwa ni Hiace model gani yenye engine nzuri na body ngumu.
Nafikiria kununua kwa ajili ya usafiri maeneo ya kijijini ambapo barabara sio nzuri
Msaada wenu tafadhali.

Pata Hiace Regius imekaa kama Noah, engine yake ni sawa na ya Prado kuna za diesel na petrol pia
 
Kwa watu wanaozitumia na kufuata masharti yake sijasikia wakilalamika na ualaji wake wa mafuta ni mzuri sana ukilinganisha na toyota. Ila ukinunua usirumie mafundi wa kubahatisha

nakushukuru sana tindi kwa maoni yako.
 
Mshana Jr... Ningekuomba uongelee kidogo kuhusu Volskwage Touareg, nampango wa kuinunua gari hii tafadhali.
 
wadau naomba kujuzwa ubora na udhaifu wa SUZUKI JIMMY ninakipenda hiki kigari,kwa muonekano wake,pia kipo juu,kinafaa sana maporini huku.
 
Kwanza VW zote ni gari bomba sana kuanzia caravelle, combi, golf nk nk, japo hazina umaarufu Tanzania
Tourage VW ni toleo jipya sokoni lakini linalofanya vizuri sokoni na hata uimara na fuel consumption ni beyond unquestionable
Shida ipo kwenye vipuri lakini hiyo haiwezi kukuzuia kumiliki kwakuwa Nairobi hapo unapata kila kitu na as time goes hata hapa kwetu zitajaa
 
wadau naomba kujuzwa ubora na udhaifu wa SUZUKI JIMMY ninakipenda hiki kigari,kwa muonekano wake,pia kipo juu,kinafaa sana maporini huku.

Kama una cash kalipie hata kesho, ni mojawapo ya magari machache yenye cc ndogo ambayo yako imara sana na good thing ni kwamba vina four wheel
 
Msaada kwa anayefahamu ubora wa hizi Suzuki ukizingatia uimara wake,upatikanaji wa spea na ulaji wa mafuta.Modeli ni TD 54W
 
Attachments

  • 1439654158267.jpg
    1439654158267.jpg
    26.4 KB · Views: 367
Msaada kwa anayefahamu ubora wa hizi Suzuki ukizingatia uimara wake,upatikanaji wa spea na ulaji wa mafuta.Modeli ni TD 54W

Suzuki zote ni gari poa sana coz zina chasisi! Ulaji wa mafuta ni kawaida tu (ila nashauri isiwe gari yako ya kwanza kumiliki). Spare no idea, but all in all zinaonekana vzr sana km ni mtu wa totoz unaeza kufa kwa ngoma ha ha haaa
 
Nashukuru kwa msaada ila naomba ufafanuzi kwanini umetoa angalizo lakutokuwa gari yangu ya kwanza?.Malengo yangu ni kwamatumizi yakifamilia na mimi siyo mtu watotoz mkuu.
 
Back
Top Bottom