Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nina Honda CRV nimeanza itumia siku za karibuni, nataka kubadili oil kwenye ka diff. kadogo katikati nyuma.

Oil hiyo ndo iliyokuja nayo toka Japani sasa naibadili.
1) Oil gani bora? Nipe spacefications zake.
2) Baada ya kuiweka niibadili tena baada ya km ngapi?

Nitashukuru kwa majibu yenye uhakika.
 
Hiyo ni namba ya usajili wa gari kwahiyo haiwezi kubadilika. Mkuu kwani namba A ina shida gani?

Hahaha atakuwa anataka kuwauzia washamba wanao nunulia Gari Namba na sio engine
 
Nina Honda CRV nimeanza itumia siku za karibuni, nataka kubadili oil kwenye ka diff. kadogo katikati nyuma.

Oil hiyo ndo iliyokuja nayo toka Japani sasa naibadili.
1) Oil gani bora? Nipe spacefications zake.
2) Baada ya kuiweka niibadili tena baada ya km ngapi?

Nitashukuru kwa majibu yenye uhakika.

Ni mara chache sana kubadili diff oil nakushauri usifanye hivyo labda kwa situation maalum
 
Nilikuwa ninauliza kwa kawaida Suzuki Swift CC 1300 ya mwaka 2005 inatakiwa kula 1lita kwa Kilometa ngapi!!?

Je, gharama ya diagnosis pia ni Tshs ngapi!!?
 
Wakuu naomba msaada,
Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia gari,nissan wingroad cc 1500,
Kwenye mwenye uzoefu na gari hizi anijuze tafadhali.
 
Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu
 
Back
Top Bottom