nashukuru kwa uzi huu mzuri, nimenunua mark 2 grande gx 110. electromultivision yake imeandikwa kichina tu, pia nimeshindwa kutumia cd japo inaonyesha kuwa inasoma lakini sauti haitoi. pia kuna dvd ambayo nayo imenishinda kutumia. naombeni msaada tafadhali
Mimi huwa sizipendi kabisa radio zinzokuja na magari huwa nabadilisha faster.
mwanzo nılikua natumia gx 100 mark ii yenye engine ya vvti ulaji wake ulikua si mchezo..lkn sasa nna gx 90 yenye 1g kavu na inakula vzur..mi nadhan vvti inakula zaidi
mwanzo nılikua natumia gx 100 mark ii yenye engine ya vvti ulaji wake ulikua si mchezo..lkn sasa nna gx 90 yenye 1g kavu na inakula vzur..mi nadhan vvti inakula zaidi
Hapana kuna Shida mahali lakini pia uendeshaji wa mjini waweza kuwa sababu, gari kila ikitaka kuchanganya inasimama kwa sababu ya foleni zetu, hapo kweli wese litakuwa kama unaendesha V6
Hapana chief. Hiyo iliyokuwa inakula zaidi huenda ilikuwa na hitilafu..hiyonya vvti ni IG FE vvti.