Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kampuni nyingi za barabara au Majengo kuna wachina/japan onana nao watakusaidia easy.
Wadau mimi naomba kujua over drive kwenye Toyota IST au Toyota Voxy inakuwa engaged wakati taa ya overdrive ikiwa inaonyesha OVER DRIVE OFF au taa hiyo ikiwa imezima? Na nini madhara ya kuendesha gari kwenye mwendi wa kawaida ikiwa over drive iko on aksanteni
cheguevara speed 200? Au 20? Kwakuwa kuna modifications tayari ni ngumu kujua hasa tatizo nininihabari,gari yangu wadau nikitembea mwendo fulani kama 200km inazima nikipoa inatembea tena mwendo fulani inazima,ni freelander 2,nimebadili engine na geabox nikaweka ya rav 4 3s bado tatizo hilo linatokea ni manual transmission,
ushauri wadau
Wadau mimi naomba kujua over drive kwenye Toyota IST au Toyota Voxy inakuwa engaged wakati taa ya overdrive ikiwa inaonyesha OVER DRIVE OFF au taa hiyo ikiwa imezima? Na nini madhara ya kuendesha gari kwenye mwendi wa kawaida ikiwa over drive iko on aksanteni
Unapoendesha taa ya overdrive inatakiwa isiwake kwenye dashbod na overdrive itumie pale unapotaka kuovertake
Sio kichina ni kijapan wapo mafundi wa hizo mambo jaribu kuwatafuta
Mshana kwema mkuu. Tafadhali naomba rudishwa kwa group ya magari la whatsapp. Nimebadili handset ila sikuweza hama na groups. Tafadhali namba 0787 229344 . Natanguliza shukurani mkuu
OK lakini Kwasasa laini yangu yenye no ya group imekorofisha ngoja Angelo007 atafanya mambo
Gari za Right Hand Drive huwa ni kwa export tuu. Haziendeshwi UAE Dubai. Nyingi hupelekwa Oman
| Reference Number | 1516106719 | |
| Make: | TOYOTA | |
| Model: | VITZ | |
| Body Type: | HATCHBACK | |
| Year of Manufacture: | 2006 | |
| Fuel Type: | PETROL | |
| Engine Capacity: | 1001 - 2000 CC | |
| Customs Value CIF (USD): | 2748.08 | |
| Import Duty (USD): | 687.02 | |
| Excise Duty (USD): | 171.75 | |
| Excise Duty due to Age (USD): | 515.26 | |
| VAT (USD): | 741.98 | |
| Total Taxes (USD): | 2116 | |
| Total Taxes (TSHS): | 4587488 |