Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2WD ni mbadala wa 4WD, na Kama gari yako sio full-time 4WD basi mara nyingi huwa kwenye mode ya 2WD, hizo D-DRIVE, N-NEUTRAL NA P-PARKING hazina uhusiano wa moja kwa moja ni 2WD au 4WD
mshana jr Naomba nami kuungwanishwa whatsapp namba yangu 0659 211 222 Vilevile nimeipenda sana biashara ya Auto sales & service ikijumuisha:- 1.car service (garage) kwa gari ndogo tu 2.car wash na 3.kuuza spare parts za gari ndogo Kwa uzoefu ulionao katika magari said:Tuwasiliane pm
Tuwasiliane pm
Hahaha mkuu sio wazee wote wanabusara wengine ni shidaaaa
mshana jr Naomba nami kuungwanishwa whatsapp namba yangu 0659 211 222 Vilevile nimeipenda sana biashara ya Auto sales & service ikijumuisha:- 1.car service (garage) kwa gari ndogo tu 2.car wash na 3.kuuza spare parts za gari ndogo Kwa uzoefu ulionao katika magari said:5 years
naomba kuuliza....tyre za gari huwa zinaexpire baada ya muda gani from date of manufacture?
Mkuu kwanza hakuna engine aina ya VVTi.....hiyo ni teknolojia ya kuregulate uingizaji wa nafuta kwen engine kupitia valves...variable valve timing with intelligence. Engine nyingi za siku hizi zina hiyo technology. Aina ni kama izo 3s 4s 5s Ig IG FE nk. Suala la ipi imara inategemea na aina ya gari na matumizi. Uimara au kudumu kwake inategema na matunzo yako tu.
mshana jr, [MENTION]Kaizer[/MENTION] [MENTION]PRONDO[/MENTION] na wakuu wengine, radio ya gari yangu Mark Ten haina usb port, nimekuwa mtu wa maCD na radio stations, wakati mwingine natamani nitumie flash nashindwa. Nifanyaje? Kuna option ya kuweza kuongeza hiyo??
Nunua USB player ya gari connect frequency ziendane na kwenye radio ya gari mfano 88.0 kwa 88.0 , kisha tumia flash au memory card
mshana jr, [MENTION]Kaizer[/MENTION] [MENTION]PRONDO[/MENTION] na wakuu wengine, radio ya gari yangu Mark Ten haina usb port, nimekuwa mtu wa maCD na radio stations, wakati mwingine natamani nitumie flash nashindwa. Nifanyaje? Kuna option ya kuweza kuongeza hiyo??
Mkuu mfano Mark X ina V6 engine, je hii ni ipi kati ya hizo ulizotaja? Nini faida na hasara ya engine hizi?
Wadau kuna kitu nime note kwa hizi gari zetu ili usichoke dash board na ndani kwa ujumla tusishushe vioo kwasababu ya vumbi linachakaza sana muonekano wa ndani wa gari kwaio ni vyema tuka washa a/c
Wadau kuna kitu nime note kwa hizi gari zetu ili usichoke dash board na ndani kwa ujumla tusishushe vioo kwasababu ya vumbi linachakaza sana muonekano wa ndani wa gari kwaio ni vyema tuka washa a/c