Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

mshana jr, [MENTION]Kaizer[/MENTION] [MENTION]PRONDO[/MENTION] na wakuu wengine, radio ya gari yangu Mark Ten haina usb port, nimekuwa mtu wa maCD na radio stations, wakati mwingine natamani nitumie flash nashindwa. Nifanyaje? Kuna option ya kuweza kuongeza hiyo??

Ukishanunua mp3 player ichomeke pale pa kuwashia sigara.search frequency kama ulivyoambiwa..kumbuka ku adjust volume ya mp3 player iwe zaidi ya nusu au nusu ili uwe una adjust volume kwenye radio tu then endelea kula mziki.
 
Ya bei ghali kabisa ni elfu 40 kwa uzoefu wangu ukiwa tayari umeshainunua nitakuelekeza

Mkuu asante nitakutafuta ijumaa unielekeze. wapi zinapatikana? Au ndi hizi wanazouza hawa jamaa barabarani???

Ukishanunua mp3 player ichomeke pale pa kuwashia sigara.search frequency kama ulivyoambiwa..kumbuka ku adjust volume ya mp3 player iwe zaidi ya nusu au nusu ili uwe una adjust volume kwenye radio tu then endelea kula mziki.

Asante sana mkuu.
 
Mkuu asante nitakutafuta ijumaa unielekeze. wapi zinapatikana? Au ndi hizi wanazouza hawa jamaa barabarani???

Asante sana mkuu.

Mhh zile vimeo ni substandard maduka mengi ya radio za magari zipo
 
Urembo mwingine haupendezeshi gari
 
Attachments

  • 1444195311956.jpg
    1444195311956.jpg
    42.7 KB · Views: 312
Wakuu, nina gari yangu raum model ya 2003. Hivi juzi imeweka taa ya 'CHECK ENGINE' nikampelekea fundi mmoja akacheki akasema tatizo litakua oxygen sensor lakini akawa hana diagonisis machine ili ahakikishe so nikawasha gari nikasepa. Sasa kabla sijapeleka kwa fundi wengine ningeomba ushauri wenu na uzoefu kwanza.
 
Kama inawaka na kuzima Yaweza kuwa timing belt...
 
Kama inawaka na kuzima Yaweza kuwa timing belt...

ushauri wenu na uzoefu kwanza.[/QUOTE]

Raum 2003 ina engine ya 1NZ inayotumia timing chain,hivyo haiwezi ikawa timing belt. Cha msingi kabla hajapima anatakiwa ajitathmini alifanya nini kabla taa haijaanza kuwaka. Yawezekana amegusa wiring system ambayo huleta short circuit,au au ameosha gari maji yameingia system ya umeme n.k,

Kuhusu oxygen sensor inaweza ikawa kweli ama hapana ila usikimbilie bila kujitathmini halafu ukapime upate majibu sahihi.

Nilishapata matatizo kama hayo kwenye gari nyingine siyo raum ila engine ni 1NZ nilivyopima nikakuta kila kitu kiko sawa,nikashauriwa kucheki na watu wa umeme, kukagua system yote akagundua maji yaliingia mahali,baada ya kukausha na kupafunga pasiingize maji mpaka leo tatizo hilo halipo
 
ushauri wenu na uzoefu kwanza.

Raum 2003 ina engine ya 1NZ inayotumia timing chain,hivyo haiwezi ikawa timing belt. Cha msingi kabla hajapima anatakiwa ajitathmini alifanya nini kabla taa haijaanza kuwaka. Yawezekana amegusa wiring system ambayo huleta short circuit,au au ameosha gari maji yameingia system ya umeme n.k,

Kuhusu oxygen sensor inaweza ikawa kweli ama hapana ila usikimbilie bila kujitathmini halafu ukapime upate majibu sahihi.

Nilishapata matatizo kama hayo kwenye gari nyingine siyo raum ila engine ni 1NZ nilivyopima nikakuta kila kitu kiko sawa,nikashauriwa kucheki na watu wa umeme, kukagua system yote akagundua maji yaliingia mahali,baada ya kukausha na kupafunga pasiingize maji mpaka leo tatizo hilo halipo[/QUOTE]

Asante kwa ufafanuzi Tindi
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa ushauri Tindi. Before taa haijaanza waka kuna fuse moja ya taa za parking ilikua imeungua. Fundi akaibadilisha na taa zikawa zinawaka (za parking na za dashboard). Inaweza kua ni tatizo eeh? Coz soon baada ya fuse kubadilishwa Kinondoni,kufika mwenge taa ikawaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom