Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Asante kwa ushauri Tindi. Before taa haijaanza waka kuna fuse moja ya taa za parking ilikua imeungua. Fundi akaibadilisha na taa zikawa zinawaka (za parking na za dashboard). Inaweza kua ni tatizo eeh? Coz soon baada ya fuse kubadilishwa Kinondoni,kufika mwenge taa ikawaka

Hilo ndio tatizo la msingi,tafuta fundi mahiri wa umeme akukagulie gari yako utapata suluhisho la gari yako.

Pia unatakiwa ujue kwanini fuse iliungua ndipo akabadilisha

Kiufupi ni short circuit,matatizo haya mafundi wengi hukimbilia kuchokonoa engine na mwisho kuharibu magari ya watu
 
Last edited by a moderator:
Leo wakati naendesha nikifika 80KPH gari inamiss haiendi beyond..inakua kama inasita sita afu inalalamika balaa huku ikwa kama inaruka ruka hivi. Tatizo ni nn mbina hii gari yantia wazimu
 
nipen uzoefu kwa kawaida noah ikiwa ina engine nzuri Lita 1 huwa inaenda kilometa ngapi..model old fashion..
 
Leo wakati naendesha nikifika 80KPH gari inamiss haiendi beyond..inakua kama inasita sita afu inalalamika balaa huku ikwa kama inaruka ruka hivi. Tatizo ni nn mbina hii gari yantia wazimu

Kwanza ni gari gani,pili ni manual au auto
 
Leo wakati naendesha nikifika 80KPH gari inamiss haiendi beyond..inakua kama inasita sita afu inalalamika balaa huku ikwa kama inaruka ruka hivi. Tatizo ni nn mbina hii gari yantia wazimu

nenda kacheki saprk plugs zimeshafika mwisho wake za kubadilisha. kama baada ya hiyo pia gari inafanya hivyo basi kaifanyie computerised diagnostics
 
Kwa kuongeza tu, wakati wanafanya diagnosis, mueleze fundi acheki vizuri performance level ya AF/Oxygen Sensor yaweza kuwa nguvu zake umeanza kupungua.
Kuna graph ya umeme inayonyesha nguvu yake.
 
Hata ubadilishaji wa wrong
transmission oil huleta shida hiyo pia,
 
Kama maisha n mzunguko bas tafta gari au pikipiki uzunguke
 
Wanabodi naimba mnisaidie kuhusu hii Abs hivi ni wakati gani inakua on na wakati gan inakua off maana kwenye xtrail yangu watu wanasema lisipo onekana neno ABS basi hapo ndo ipo off wengine wanasema viveversa
 
Haitakiwi kuonekana
 
Hivi wakuu na wataalam wetu kwy hili jukwaa kuwasha AC kunapelekea high consumption ya fuel au ni uoga wetu tu!?
 
Wakuu wanasema gari yoyote ikitembea km 100,000 lazima ubadilishe timing belt,je hii ni automatic au unasubiri tatizo litokee?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom