IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Wakuu wanasema gari yoyote ikitembea km 100,000 lazima ubadilishe timing belt,je hii ni automatic au unasubiri tatizo litokee?
Wala usisubiri tatizo maana itaku cost zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wanasema gari yoyote ikitembea km 100,000 lazima ubadilishe timing belt,je hii ni automatic au unasubiri tatizo litokee?
Wakuu wanasema gari yoyote ikitembea km 100,000 lazima ubadilishe timing belt,je hii ni automatic au unasubiri tatizo litokee?
Wala usisubiri tatizo maana itaku cost zaidi
Wakuu wanasema gari yoyote ikitembea km 100,000 lazima ubadilishe timing belt,je hii ni automatic au unasubiri tatizo litokee?
nina milioni 5 cwez pata spacio iliyo katika hali nzuri???
Kama maisha n mzunguko bas tafta gari au pikipiki uzunguke
Siyo magari yote yanatumia timing belt, mengine yanarumia timing chain. Yanayotumia timing chain haina haja ya kubadilisha
Wanabodi naimba mnisaidie kuhusu hii Abs hivi ni wakati gani inakua on na wakati gan inakua off maana kwenye xtrail yangu watu wanasema lisipo onekana neno ABS basi hapo ndo ipo off wengine wanasema viveversa
Haitakiwi kuonekana
Wakuu salamu kwenu, mi naomba kujua kwenye gari za automatic transmission, ili iweze ku-engage gear ya 4, inabidi speed (kmph)ifike ngapi? Nimeuliza hivyo kwa sababu niliendesha harrier ikafika 80kmph lkn gear ilikua 3rd. Je ni kawaida?
Mmhh gari zote zenye automatic transmission gear huingia zenyewe kutokana na mwendo
Wakuu salamu kwenu, mi naomba kujua kwenye gari za automatic transmission, ili iweze ku-engage gear ya 4, inabidi speed (kmph)ifike ngapi? Nimeuliza hivyo kwa sababu niliendesha harrier ikafika 80kmph lkn gear ilikua 3rd. Je ni kawaida?
Kagua gari yako kuanzia uchomaji wa mafuta, angalia rear wheels kama zinatembea kama inavyopaswa( namaanisha mzunguko mzima pamoja na excel zake ziazozungusha matari ya nyuma. Angalia kama ulishawahi kubadilisha transmission oil, kama ulibadilisha yawezekana hawajakuwekea right oil hivyo gear box inakosa right viscosity

samahanini hivi autorec na beforwad ni wana magari mazuri?
Wakuu salamu kwenu, mi naomba kujua kwenye gari za automatic transmission, ili iweze ku-engage gear ya 4, inabidi speed (kmph)ifike ngapi? Nimeuliza hivyo kwa sababu niliendesha harrier ikafika 80kmph lkn gear ilikua 3rd. Je ni kawaida?
Kubadilika kwa gia kunategema mambo mengi...terrain, rpm, pressure ya throttle nk. Gari yenyewe ndio inadetermine kqa mazingira haya itumie gia ipi. So hata speed 100 inaeza kuwa iko 3rd gia kutegemea na ukanyagaji wa mafuta na mambo yote hayo