pia naomba kujua tofauti kati ya 6 na 4 plug..!!
Plug zinacorrespond na idadi ya cylinder...6 kwa ajili ya 6 cylinder kama ilivyo kwa engine za IG kavu na IG FE VVT-i. 4 plugs kwa injin za cylinder 4. Kila cylinder inakuwa na plug yake
sawa ila nataka kujua ni ipi inauwezo na nguvu zaidi?
nashukuru kwa uzi huu mzuri, nimenunua mark 2 grande gx 110. electromultivision yake imeandikwa kichina tu, pia nimeshindwa kutumia cd japo inaonyesha kuwa inasoma lakini sauti haitoi. pia kuna dvd ambayo nayo imenishinda kutumia. naombeni msaada tafadhali
sawa ila nataka kujua ni ipi inauwezo na nguvu zaidi?
Naomba msaada Wa kujua in gari IPI nzuri kununua kati ya harrier 240 Na klugger zote zina cc 2360
Mkuu ujazo wa upepo unategemeana na tairi husika, kama ni low profile au standard profile. Naomba usome kwenye tairi ya carina yako utapata majibu. Muhimu hata uzito unahusika kwenye safari ndefu, kuna mtu ameweka uzi wa kuhusu matumizi ya matairi naomba uupitie utajifunza mengi sana.
mshana jr,gari langu nimelibadili engine na gearbox tayari kutoka engine ya freelander kwenda rav 4 3s gearbox manual nimetembelea kama 200km gear zinagoma kuingia nimewasiliana na fundi aliyenibadilishia anazingua mara cable fupi mara engine imesogea mbele,naomba ushauri ikiwezekana na mawasiliano ya fundi anayeweza kunirekebishia,plz!!
Mkuu ujazo wa upepo unategemeana na tairi husika, kama ni low profile au standard profile. Naomba usome kwenye tairi ya carina yako utapata majibu. Muhimu hata uzito unahusika kwenye safari ndefu, kuna mtu ameweka uzi wa kuhusu matumizi ya matairi naomba uupitie utajifunza mengi sana.
Safari ndefu watu watano jumla wenye chini ya kilo mia, tairi ni bluEarth Yokohama.
Wadau naombeni mwongozo, nataka kuagiza Range Rover, je ni nzuri?