Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

pia naomba kujua tofauti kati ya 6 na 4 plug..!!

Plug zinacorrespond na idadi ya cylinder...6 kwa ajili ya 6 cylinder kama ilivyo kwa engine za IG kavu na IG FE VVT-i. 4 plugs kwa injin za cylinder 4. Kila cylinder inakuwa na plug yake
 
sawa ila nataka kujua ni ipi inauwezo na nguvu zaidi?
 
Kiongozi mim kwauelewa wangu 6 cylinder inakuwa na piston 6 kwaio lazima itakuwa na nguvu na ata fuel consumption inakuwa kubwa ukilinganisha na 4 cylinder inakuwa pungufu
 
nashukuru kwa uzi huu mzuri, nimenunua mark 2 grande gx 110. electromultivision yake imeandikwa kichina tu, pia nimeshindwa kutumia cd japo inaonyesha kuwa inasoma lakini sauti haitoi. pia kuna dvd ambayo nayo imenishinda kutumia. naombeni msaada tafadhali

Kuna kampuni nyingi za barabara au Majengo kuna wachina/japan onana nao watakusaidia easy.
 
Naomba msaada Wa kujua in gari IPI nzuri kununua kati ya harrier 240 Na klugger zote zina cc 2360
 
sawa ila nataka kujua ni ipi inauwezo na nguvu zaidi?

Definately yenye 6 cylinder ina nguvu zaidi...in fact IG FE VVTi ina HP 160. Ndio maana xina uwezo wa kuhimili safari ndefu kwa muda mrefu bila kukohoa kohoa kama vigari vidogo hivi....mfano wa hivi atakupa mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Naomba msaada Wa kujua in gari IPI nzuri kununua kati ya harrier 240 Na klugger zote zina cc 2360

Chukua harrier mzazi kam unapata new model hizi ACU 30/35 hivi kluger sina uzoefu nazo but harrier ni spacious elegant and comfortable na luxurious hasa.
 
wakuu Kaizer , mshana Jr hivi recommended upepo wa tairi kwa carina T.I kwa safari ndefu ni ngapi zaidi ya KM 500?
 
Last edited by a moderator:
wakuu Kaizer , mshana Jr hivi recommended upepo wa tairi kwa carina T.I kwa safari ndefu ni ngapi zaidi ya KM 500?

Mkuu ujazo wa upepo unategemeana na tairi husika, kama ni low profile au standard profile. Naomba usome kwenye tairi ya carina yako utapata majibu. Muhimu hata uzito unahusika kwenye safari ndefu, kuna mtu ameweka uzi wa kuhusu matumizi ya matairi naomba uupitie utajifunza mengi sana.
 
Tairi hizi za kawaida kwa gari ndogo upepo standard ni 30 mbele na 35 nyuma, hizi gari za kati Kama harrier, rav 4 , klugger nk ni 35 mbele na 40 nyuma
 
Last edited by a moderator:
Habarini za jioni, ninahitaji gari ndogo ya kutembelea, ilio katika hali nzuri. kwa wauzaji au anefahamu ninapoweza kupata naomba anijulishe.
kuhusu bei tuatelewana kulingana na aina ya gari, hali ya gari na km lilizotembea.
Nahitaji gari ya hapa hapa Tz hasa Dar es salaam.

Mawasiliano: 0752090930 napatikana pia watsapp.
Ahsanteni
 
mshana jr,gari langu nimelibadili engine na gearbox tayari kutoka engine ya freelander kwenda rav 4 3s gearbox manual nimetembelea kama 200km gear zinagoma kuingia nimewasiliana na fundi aliyenibadilishia anazingua mara cable fupi mara engine imesogea mbele,naomba ushauri ikiwezekana na mawasiliano ya fundi anayeweza kunirekebishia,plz!!
 
Mmh kwakweli hii ni ngumu kuweza kukushauri chochote hapa, Nitakuwa Dar next week Kama Upo Dar tuwasiliane
 
Mkuu ujazo wa upepo unategemeana na tairi husika, kama ni low profile au standard profile. Naomba usome kwenye tairi ya carina yako utapata majibu. Muhimu hata uzito unahusika kwenye safari ndefu, kuna mtu ameweka uzi wa kuhusu matumizi ya matairi naomba uupitie utajifunza mengi sana.

Safari ndefu watu watano jumla wenye chini ya kilo mia, tairi ni bluEarth Yokohama.
 
Alichokushairi mshana kiko sahihi kama ni standard profile, ila naomba ukague kama tairi yako haija expire, pili naomba uangalie below pictures zikusaidie kujua kama tairi yako inauwezogani kulingana na speed unayotarajia kutumia
 
Attachments

  • 1443277497219.jpg
    1443277497219.jpg
    43.1 KB · Views: 358
  • 1443277523247.jpg
    1443277523247.jpg
    50 KB · Views: 350
Wadau naombeni mwongozo, nataka kuagiza Range Rover, je ni nzuri?

Nzuri sana but no handle with xtreme care na haitaki mikono mingi wala papara za kuwasha au kuzima... Pia kuwa makini sana na code msgs itakazokuwa inakupa kila wakati
 
Nashukuru sana Mshana jr. Maana nimeiona befoward kwa bei nafuu, dola 2000!
 
Back
Top Bottom