Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hivi magari yanayopitia Dubai (RHD) yakitoka Japan hua yanaendeshwa huko Dubai? Niliskia kua huko Dubai ni left hand lane
 
habari,gari yangu wadau nikitembea mwendo fulani kama 200km inazima nikipoa inatembea tena mwendo fulani inazima,ni freelander 2,nimebadili engine na geabox nikaweka ya rav 4 3s bado tatizo hilo linatokea ni manual transmission,
ushauri wadau
 
Wadau mimi naomba kujua over drive kwenye Toyota IST au Toyota Voxy inakuwa engaged wakati taa ya overdrive ikiwa inaonyesha OVER DRIVE OFF au taa hiyo ikiwa imezima? Na nini madhara ya kuendesha gari kwenye mwendi wa kawaida ikiwa over drive iko on aksanteni
 
Unapoendesha taa ya overdrive inatakiwa isiwake kwenye dashbod na overdrive itumie pale unapotaka kuovertake
 
habari,gari yangu wadau nikitembea mwendo fulani kama 200km inazima nikipoa inatembea tena mwendo fulani inazima,ni freelander 2,nimebadili engine na geabox nikaweka ya rav 4 3s bado tatizo hilo linatokea ni manual transmission,
ushauri wadau
cheguevara speed 200? Au 20? Kwakuwa kuna modifications tayari ni ngumu kujua hasa tatizo ninini
 
Last edited by a moderator:

Unapoendesha taa ya overdrive inatakiwa isiwake kwenye dashbod na overdrive itumie pale unapotaka kuovertake

Always engage O/D speed ikizidi 80kph, na taa inapowaka O/D iko off
 
Sio kichina ni kijapan wapo mafundi wa hizo mambo jaribu kuwatafuta

Mshana kwema mkuu. Tafadhali naomba rudishwa kwa group ya magari la whatsapp. Nimebadili handset ila sikuweza hama na groups. Tafadhali namba 0787 229344 . Natanguliza shukurani mkuu
 
Mshana kwema mkuu. Tafadhali naomba rudishwa kwa group ya magari la whatsapp. Nimebadili handset ila sikuweza hama na groups. Tafadhali namba 0787 229344 . Natanguliza shukurani mkuu

OK lakini Kwasasa laini yangu yenye no ya group imekorofisha ngoja Angelo007 atafanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Wana jf naomba msaada kwa gari hii,nataka kuiagiza Japan, nataka kujua gharama yake kwa hapa TRA.Ni Toyota vitz, ina cc1290, ya mwaka 2006. CIF yake ni dollar 2100, na bei yake ya kuinunua hiyo gari ni dollar 1350
 
Reference Number1516106719
Make:TOYOTA
Model:VITZ
Body Type:HATCHBACK
Year of Manufacture:2006
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):2748.08
Import Duty (USD):687.02
Excise Duty (USD):171.75
Excise Duty due to Age (USD):515.26
VAT (USD):741.98
Total Taxes (USD):2116
Total Taxes (TSHS):4587488
 
Reference Number 1516106719
Make: TOYOTA
Model: VITZ
Body Type: HATCHBACK
Year of Manufacture: 2006
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD): 2748.08
Import Duty (USD): 687.02
Excise Duty (USD): 171.75
Excise Duty due to Age (USD): 515.26
VAT (USD): 741.98
Total Taxes (USD): 2116
Total Taxes (TSHS): 4587488
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…