Kwenye suala la upepo wa matairi unaotakiwa ni, kila model ya gari imewekewa kibandiko kinachokuwa kwenye frame ya mango wa dereva. Hapo utaona kiwango sahihi ca upepo kwa tairi za gari yako. Hiyo ya kuweka 30 kwa 40 sio sahihi. Aidha idadi ya watu au ukubwa wa mzigo pia ni factor ya kudetermine kiwango cha upepo. Angalia kibandiko na usidanganywe. Nawarushia moja hivi punde
Viwanda vya upepo wa matairi toyota camry 2004
Viwanda vya upepo wa matairi toyota camry 2004
wataalamu wanao miliki magari yanayotumia injini za D4 naomba waje watoe uzoefu wa magari hayo kwa mazingira ya hapa Bongo, jinsi ya kuya handle na changamoto wanazokutana nazo kama zipo, nini kifanyike kwa wamiliki wa magari ya injini hizo. karibu
Solution rahisi ni kama alivosema mshana jr apo juu nunua car mp3 player weka flash yako kisha sync frequency.
Nimeshauriwa niache kutumia miguu miwili kwenye kukanyaga gas pedal na break pedal hivi hii ina effect yyt? Nina nissan xtrail automatic transmission
Kaizer mimi natumia miguu yote watu wananishangaa sana lakini imenisaidia kuepusha ajali nyingi hapa mijini
Nami tafadhari,0763808090