Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Kwenye suala la upepo wa matairi unaotakiwa ni, kila model ya gari imewekewa kibandiko kinachokuwa kwenye frame ya mango wa dereva. Hapo utaona kiwango sahihi ca upepo kwa tairi za gari yako. Hiyo ya kuweka 30 kwa 40 sio sahihi. Aidha idadi ya watu au ukubwa wa mzigo pia ni factor ya kudetermine kiwango cha upepo. Angalia kibandiko na usidanganywe. Nawarushia moja hivi punde
 
Kuwa makini na tairi zaidi kwani watu wengi hubadili size za matairi hivyo ukifuata recomended specification unakuwa wrong,ila kama hujabadilisha size unakuwa corect.
 
Viwanda vya upepo wa matairi toyota camry 2004

Matairi yote huwa na standard specification,watengezaji wa magari huamua kuchua type fulani kulingana na gari walivyoitengeneza. Nakushauri usome tairi litakupa majibu ya kiasi cha upepo
 
wataalamu wanao miliki magari yanayotumia injini za D4 naomba waje watoe uzoefu wa magari hayo kwa mazingira ya hapa Bongo, jinsi ya kuya handle na changamoto wanazokutana nazo kama zipo, nini kifanyike kwa wamiliki wa magari ya injini hizo. karibu
 
Hili swali limeshajibiwa mara kadhaa.
Tafadhali search posts zilizotangulia
 
Solution rahisi ni kama alivosema mshana jr apo juu nunua car mp3 player weka flash yako kisha sync frequency.

Ni ushauri mzuri kwa mtu anaekaa kijijini lakini kwa anaekaa mjin ni kero sijapata kuona,mara nyingi inaingiliana na baadhi ya station yahan ful majanga,,,mi nilinyofoa radio orgina nikaweka ya mchina yahan ful kutouch hadi raha
 
Last edited by a moderator:
Nimeshauriwa niache kutumia miguu miwili kwenye kukanyaga gas pedal na break pedal hivi hii ina effect yyt? Nina nissan xtrail automatic transmission
 
naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kupata hii control box hapa tz
Nissan 23710-3J304 9N
 
Nimeshauriwa niache kutumia miguu miwili kwenye kukanyaga gas pedal na break pedal hivi hii ina effect yyt? Nina nissan xtrail automatic transmission

Yeah tumia mguu mmoja wa kulia. Hii ni kwa ajili ya effective handling ya gari.
 
Kaizer mimi natumia miguu yote watu wananishangaa sana lakini imenisaidia kuepusha ajali nyingi hapa mijini
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mimi natumia miguu yote watu wananishangaa sana lakini imenisaidia kuepusha ajali nyingi hapa mijini

Hahaha ndo maana wanakushangaaa kaka haikiwa designed kwa miguu miwili ndo.maana kuna foot rest pale.. sema ni namna ulivyotune ubongo wako
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ndo maana wanakushangaaa kaka haikiwa designed kwa miguu miwili ndo.maana kuna foot rest pale.. sema ni namna ulivyotune ubongo wako

Ni kweli ila imenisaidia sana hasa kwenye manual cars, zote napeta tuu
 
Back
Top Bottom