Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau na ili kupata gari nzur ya bei rahisi atleast kuanzia maisha naeza pata kwa bei gani na ni gari gani? sio used.
Kusema kupata gari nzuri na sio used kwa bei rahisi inakuwa sentesi tata kiasi fulani...asilimia kubwa ya watanzania tunatumia used cars ni wachache wenye uwezo wa kununua brand new cars.

Sasa kama uwezo wa kununua gari mpya ni tatizo basi hapohapo ujue unahitaji bajeti kubwa kupambana na gharama hizo.Hapo naagalia point yako ya 'gari la bei rahisi ..sio used'.ina maana unahitaji brand new car.

Hebu itengeneze vizuri point yako then useme mazingira unayoishi na shughuri kubwa unayotaka gari yako ikusadie wadau watakupa ushauri na hata bajeti yako ni shs ngapi ambayo wewe utaona kwako ni rahisi.

Hata kama ni kwa familia option zipo nyingi tu
 
Asante kwa mwanzilishi wa uzi na wachangiaji
Mi nna mpango wa kununua gari itakayokuwa inanirahisishia mizunguko yangu ya kila siku,natamani iwe na consumption ndogo ya mafuta na isizidi.millioni 7
Nimewaza iwe vids au opa au passo

Mnanishaurije wadau
 
Mmh hizo Hapana pata Duet. ..!!! Fuel consumption ni nzuri na vigari vinavyovumilia shuruba
 
Mmh hizo Hapana pata Duet. ..!!! Fuel consumption ni nzuri na vigari vinavyovumilia shuruba
kaka mbona wanasema kuwa duet inachoka haraka na inatoa mlio flani kwenye engine ikishachoka ambao hautengenezeki?, vits haipo vuzuri kuliko duet bro mshana?
 
kaka mbona wanasema kuwa duet inachoka haraka na inatoa mlio flani kwenye engine ikishachoka ambao hautengenezeki?, vits haipo vuzuri kuliko duet bro mshana?

Bado nasimamia kwenye Duet! Ukiwa na hizi gari mbili na ukazitunza zote sawasawa Vits itakufa kabla ya Duet! Na Vits zina ugonjwa mbaya kabisa wa gearbox! Kwa kifupi Vits sizitofautishi na passo
 
hili jukwaa ni zuri linatupa uono mzuri wa kujua magari na kununua magari ukiwa na uelewa au scope pana ya gari husika, thanks thread initiator, big up, nauliza suzuki escudo old model na toyota noah town hiace, ipi ni nzuri kwa route za mjini pia masafa marefu
pia consuption za oil zake vipi na service
 
hili jukwaa ni zuri linatupa uono mzuri wa kujua magari na kununua magari ukiwa na uelewa au scope pana ya gari husika, thanks thread initiator,big up,
nauliza suzuki escudo old model na toyota noah town hiace, ipi ni nzuri kwa route za mjini pia masafa marefu
pia consuption za oil zake vipi na service

Hazitofautiani sana zipo generation moja
 
Jamani me naomba kuuliza, mtanisamehe kama swali lilishaulizwa kabla, mfano gari ambayo ni ya mwaka 2006 na ina cc 2000 na CIF ni USD 3500 je gharama zake in total mpaka unaendesha inaweza kuwa kiasi gani. Na mchanganuo kama mnaweza kunisaidia pia
 
Hazitofautiani sana zipo generation moja

asante kaka,na je zile tetesi kuwa noah inahama njia,pia inayumba sana ikipishana na gari nyingine,pia kuhusu body yake huwezi inyoosha kabisa,ni kweli?,pia average 1LITRE inaenda km ngapi mkuu?
 
asante kaka,na je zile tetesi kuwa noah inahama njia,pia inayumba sana ikipishana na gari nyingine,pia kuhusu body yake huwezi inyoosha kabisa,ni kweli?,pia average 1LITRE inaenda km ngapi mkuu?

Ndio kuna Noah zipo hivyo ila kwakweli sijui ni toleo gani! Kuhusu kunyoosha body hiyo sio shida kivile

Noah bomba ni Tourer hizi ni imara na zinakamata barabara vizuri lakini mwisho wa zote ni Hiace Regius
 
Kwa mfano gari kutoka nje price yake ni USD 2996,ikifika port ya Dar inaweza gharimu kiasi gani ili kuiweka mikononi kabisaa
 
Kwa mfano gari kutoka nje price yake ni USD 2996,ikifika port ya Dar inaweza gharimu kiasi gani ili kuiweka mikononi kabisaa

Taja aina ya gari ,cc za injini pamoja na mwaka ilipotengenezwa ndipo unaweza kupewa jibu sahihi
 
Jamani wapendwa naomba msaada,nina Hilux 2.8(LN107,3L) ya mwaka 1992 ina shida kwa system ya AC.

Asubuhi na usiku inapoza vizuri ikifika mchana kwaenye joto kali(DAR) nikiwasha AC gari inachemsha, na hasa nikiwa kwenye foleni, ikiwa kwenye mwendo kwenye joto kali haichemshi.

Alfajiri na jioni (baridi) kwenye foleni haichemshi. Nimefunga fan(feni) kwenye condensor haisaidii
 
Jamani wapendwa naomba msaada,nina Hilux 2.8(LN107,3L) ya mwaka 1992 ina shida kwa system ya AC.Asubuhi na usiku inapoza vizuri ikifika mchana kwaenye joto kali(DAR) nikiwasha AC gari inachemsha,na hasa nikiwa kwenye foleni,ikiwa kwenye mwendo kwenye joto kali haichemshi.Alfajiri na jioni (baridi) kwenye foleni haichemshi.Nimefunga fan(feni) kwenye condensor haisaidii

Hiyo kwakweli imeshachoka na kuifanya itengemae ni gharama kubwa, yani kimsingi ni kubadili system yote kuanzia evaporator lakini ukimpata fundi mzuri kuna baadhi ya vitu havitahitajika kubadili bali ni kuvifanyia service tu, Radiator na cooling system pia pamoja na mortor vina shida ndio maana unapowasha AC mzigo unakuwa mkubwa kiasi cha cooling system kuweza kuhimili

Asubuhi usiku na ikiwa kwenye mwendo haichemshi kwakuwa hali ya hewa na upepo vinasaidia kupoza
 
Back
Top Bottom