CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Kusema kupata gari nzuri na sio used kwa bei rahisi inakuwa sentesi tata kiasi fulani...asilimia kubwa ya watanzania tunatumia used cars ni wachache wenye uwezo wa kununua brand new cars.Wadau na ili kupata gari nzur ya bei rahisi atleast kuanzia maisha naeza pata kwa bei gani na ni gari gani? sio used.
Sasa kama uwezo wa kununua gari mpya ni tatizo basi hapohapo ujue unahitaji bajeti kubwa kupambana na gharama hizo.Hapo naagalia point yako ya 'gari la bei rahisi ..sio used'.ina maana unahitaji brand new car.
Hebu itengeneze vizuri point yako then useme mazingira unayoishi na shughuri kubwa unayotaka gari yako ikusadie wadau watakupa ushauri na hata bajeti yako ni shs ngapi ambayo wewe utaona kwako ni rahisi.
Hata kama ni kwa familia option zipo nyingi tu