Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Finally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.

Hongera sana kwanza, chek ipi inakupa raha ukiendesha mkuu
 
Finally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.

suzuki swift... spare zake ziko juu sana.
vitz zinakuaga na ugonjwa wa gear box.
duet.. sijawai sikia malalamiko common ya duet.
 
wakuu Mimi naomba ushauri kati ya Toyota porte, funcargo na sienta zote za mwaka 2005, fuel consumption, comfort na reliability
 

Asante mkuu kwa maelezo yakobmazuri.
umesahau moja au mawili ingawa katika maelezo yako umegusia, kuendesha gari sio tu kuibeba mashine yenyewe name kuipeleka hapana! kitu kinaitwa "Common Sense" in muhimu sana.jam, Accident hata malumbano barabarani yanaletwa na ukosefu wa akili hiyo ya kuzaliwa.
nadhani kingepatikana chombo maalumu au mtaalamu was kulichunguza chili tungepona sababu madereva engine wendawazimu kabisaa! unasjangaa Hutu gari anaendesha ya nini?
LA mwisho taxa..full na beam usiku hakika 90% ya madereva hawajui matumiza ya TSA unspokutana na mwenzio shusha mataa usitumie mataa msrefu..full light wengi anakupelekea! hay no makosa makubwa husababisha hata ajali usalama barabarani toeni magunzo thabiti kuhusu jambo hili najua mko ktk uwanja wetu.
asanteni.
 

Mkuu hili la taaa nikweli kabisaaa but hasaa wenzetu wa bajaji yani huwa wanapiga taaa full mpaka inakelaaa
 
Wakuu msaada kudogo gari yangu ni ndono na unatumia mfumo Wa zamani Wa Taa kubwa ninavyooa yaaani inakuwa na jumba LA Taa na ndani yake kuna kuwa na balbu nilitaka kujua he inawezekana hizo Taa kuzifanyia mod. Na kuwaka mwanga mkali (booster)kama gari za kisasa? Maana nanyanyasika rodini
 

Hahaha kumbe na ww unataka kunyanyasaa eeehh
 
Hivi vipi kuhusu watsap group la maswala ya kupeana uzoefu wa magari, maana nimetuma namber ya simu nimeona kimya, kama admin unaiona msg hii plz hebu fanya kutu-add
 
Habari zenu
Nina gari aina ya subaru legacy ya kifamilia. Inatumia tyre size 17 lakini kutokana na changamoto za barabara za matuta na huku nakokaa lazima nivuke kivuko imekuwa inanipa taabu kidogo sehemu ya mbele na chini vilevile kukwaluza. Sasa nilikuwa nataka kuiinua kwa kuweka spensa na kubadilisha tyre ziwe size 18. Je nini madhara ya kufanya hivi? Inaweza kuathiri utulivu wa gari barabarani hasa nikiwa katika mwendo mkubwa, kwani kwa sasa inaonekana gari ipo chini sana. Kama hakuna athari je wapi naweza kupata rim kali za subaru legacy size 18? Asanteni
Nawasilisha
 
Bwana weeee inapata tabu wajuaji wanaweza nipeleka mtaroni
 
Finally nimepata toyota duet,suzuki swift na vits zote fundi wangu amezikagua amesema ziko vizuri na price tofauti sio kubwa. naombeni comment za mwisho nsije jutia ndio gari ya kwanza, so which one i should go for.thanks in advance great thinkers.
nkushauri go for SWIFT ni ghali kuimaintain lakini kama ni mtumiaji mzuri uta enjoy ni ngumu na comfy, ila resale yake ni ngumu kiasi
 
kwa kuongezea, magari mengi tunanunua used huwa yanakuja na mannual za kijapani, na hakuna tafsiri so we go by the rule of the thumb

Hivi ni nini kutufanyia vile lakini......?........na sisi ndio wateja wao wakubwa.........hawana customer care kabisa........
 

Sikushauri ufanye hivyo, utaharibu original balance ya COG , fuel consuption na ishu kibaao. Tafuta hata terios mkuu viko juu hivi vigari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…