IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Mh kwa uelewa wangu sidhani kama kuna kitufe cha kuzima ABS
NImeshauriwa kuwa niwe naweka ABS off ninapo drive kwenye slippery roads(utelezi)
Hii ni sahihi?
Kipo kaka
Mh kwa uelewa wangu sidhani kama kuna kitufe cha kuzima ABS
Ngoja atupe ufafanuzi zaidi inawezekana pengine ni kweli
Wakuu ni nissan xtrail namaanisha over drive
Weka swali vizuri ili wakuu wakujibu, nami nina hamu ya majibu
Nashukuru sana mkuukwa haraka haraka hiyo fen ya rejeta itakuwa na matatizo mkuu.hata kama wewe waiona inazunguka lakini itakuwa haizunguki kwa speed inayotakiwa na je ushawahi badilisha mota ya feni?? na je ushawahi badilisha panga lake?? hapo kama ushawahi Fanya hayo kuna mistake itakuwa ilifanyika.mbali ya kuangalia rejeta kwa ndani Hembu jaribu kuangalia mbele ya rejeta hakuna uchafu /takataka zilizo nasa??. au mbele ya Gari hewa inapita vizuri mpaka kufika kwenye rejeta??.
unapatikana wapi mkuu
Mshana na wadau wengine naomba ushauri juu ya gari Nissan xtrail nilitaka kununua kitambo ila nili sita kwa stories za spare parts .ila sasa naona zimekuwa nyingi na bado stories ni zile zile na pia watu wanaendelea kuzitumia km kawa.naomba ufafanuzi juu ya suala la upatikanaji wa spare na ni spare za maeneo gan hasa engine ama zote kwa ujumla ni shida?
Nashukuru sana kwa ushauri ila ni kipi hasa kinacho sumbua bado spare haipatikani? ama zipo ila ghalika sana?
Nduguzangu kama badoujaingia kwenye Nissan shukuru kiukweli kama izogar ngumu basis bongo mafundi wakuzitengeneza SWAPO nakama wapo basis izogar nishida

gggg%ggggggggg%ggggggg6 e
Nduguzangu kama badoujaingia kwenye Nissan shukuru kiukweli kama izogar ngumu basis bongo mafundi wakuzitengeneza SWAPO nakama wapo basis izogar nishida