Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

NImeshauriwa kuwa niwe naweka ABS off ninapo drive kwenye slippery roads(utelezi)
Hii ni sahihi?

Sijui kama wako sahihi kwa ushauri wao. Utafanya maamuzi kulingana na maelezo ya kazi ya ABS:

ABS imewekwa ili kuzuia tairi isisimame (brake locking) unapofunga breki gari ikiwa kwenye mwendo kasi. Hii ni kwa sababu tairi ikiacha kuzunguka hufanya gari iserereke. ABS husaidia gari isimame kwa haraka na kwa wakati.

ABS huwa haifanyi kazi gari ikiwa kwenye mwendo mdogo. Kingine ni kuwa ABS inafanya kazi automatically, kuna sensor ambayo inatambua kasi ya gari na mgandamizo wa breki. Gari ikiwa na mwendo mkali ABS itafanya kazi kinyume chake haifanyi kazi.

Ni hatari sana tairi inapoacha kuzunguka kwenye utelezi kwani dereva unashindwa kuimudu gari yako vizuri.
 
Weka swali vizuri ili wakuu wakujibu, nami nina hamu ya majibu

Anamaanisha kuwa kushauriwa awe anazima Over Drive (O/D) gari ikiwa kwenye utelezi.

Wataalam wamejibu kuwa ni sahihi kufanya hivyo. Sababu kubwa ni kuwa unaifanya gari iwe nzito na imudu utelezi.
 
kwa haraka haraka hiyo fen ya rejeta itakuwa na matatizo mkuu.hata kama wewe waiona inazunguka lakini itakuwa haizunguki kwa speed inayotakiwa na je ushawahi badilisha mota ya feni?? na je ushawahi badilisha panga lake?? hapo kama ushawahi Fanya hayo kuna mistake itakuwa ilifanyika.mbali ya kuangalia rejeta kwa ndani Hembu jaribu kuangalia mbele ya rejeta hakuna uchafu /takataka zilizo nasa??. au mbele ya Gari hewa inapita vizuri mpaka kufika kwenye rejeta??.

unapatikana wapi mkuu
Nashukuru sana mkuu
Sikuiangalia kwa undani kama ulivyo recommend.
Niko mkoani kaka
 
Mshana na wadau wengine naomba ushauri juu ya gari Nissan xtrail nilitaka kununua kitambo ila nili sita kwa stories za spare parts .ila sasa naona zimekuwa nyingi na bado stories ni zile zile na pia watu wanaendelea kuzitumia km kawa.naomba ufafanuzi juu ya suala la upatikanaji wa spare na ni spare za maeneo gan hasa engine ama zote kwa ujumla ni shida?
 
Kwanza kwangu mimi binafsi nissan yoyote ni gari ngumu na nimeshawahi kuzitumia...hapa jamvini kuna mixed stories kuzihusu hizi gari lakini bado naona si mbaya kivile bali cha muhimu ni kuzingatia taratibu na utunzaji wa gari
 
Nashukuru sana kwa ushauri ila ni kipi hasa kinacho sumbua bado spare haipatikani? ama zipo ila ghalika sana?
 
Nashukuru sana kwa ushauri ila ni kipi hasa kinacho sumbua bado spare haipatikani? ama zipo ila ghalika sana?

Vitu vingine huwa ni kutishana zaidi ya uhalisia na mara nyingi mtu anapozungumzia spare parts anamaanisha gari ipatapo ajali vitu kama vioo taa radiator nk nk kwakuwa katika hali ya kawaida na kama unazingatia utunzaji wa chombo ni nadra gari kupata hitilafu
Na kwa ishu ya ajali kama umekata comprehensive insurance huhitaji kuumia kichwa kuhusu spare au matengenezo ya gari
 
Nduguzangu kama badoujaingia kwenye Nissan shukuru kiukweli kama izogar ngumu basis bongo mafundi wakuzitengeneza SWAPO nakama wapo basis izogar nishida
 
Nduguzangu kama badoujaingia kwenye Nissan shukuru kiukweli kama izogar ngumu basis bongo mafundi wakuzitengeneza SWAPO nakama wapo basis izogar nishida

gggg%ggggggggg%ggggggg6 e

Ushauri wowote wa kiufundi kuhusu swift na vitz coz nauza opa nataka kununua kagari kadogo cc 1300 tuuu
 
Back
Top Bottom