Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hapo mtihani kaka labda huku Dodoma kuna fundi unaemfahamu anaweza nisaidia mana nd Nina wiki 2 na hiy gari.na unajua mafund wanatuineaga San wanawake
 
Hapo mtihani kaka labda huku Dodoma kuna fundi unaemfahamu anaweza nisaidia mana nd Nina wiki 2 na hiy gari.na unajua mafund wanatuineaga San wanawake

Nenda Ikungi road kuna garage nyingi nzuri hasa nduvini
 
Labda kaka wawez kunisaidia IPO mtaa gani itakua rahisi kuulizia hiy nduvini
 
Mkuu mshana jr kuhusu comprehensive insurance hizi ajali ndogo ambazo matngenezo hayazidi laki tatu ujue ndo utagharamia ww..wao wanaita uchakavu. Bahati mbaya ajali nyingi zinakuwaga hizi minor kiasi kwamba utajikuta unagharamia mwenyewe tu. Inatakiwa ajali kubwa kubwa ndo raha yake japo bado utatakiwa kulipia uchakavu huo
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habar naomb mnisaidie Nina raum new model zile herufi ABS zinawaka je tatizo ni nini au ni kawaida

kutakuwa na sensor ya ABS mbovu hapo.ila kama hujapata FUNDI toa tujuzane kuna FUNDI 1 yupo hapo Dom nikuunganishe naye.
 
Nashukuru na nadhani mapenzi yangu na freelander yataishia hapa maana nimeona watu wachache sana waliosema hizi gari hazijawasumbua au hawajabadili engine. Napenda sana body yake na kuna mtu aliniambia ni ngumu ukiacha matatizo ya engine
 
Binafsi sikushauri pia labda uwe nazo nyingi halafu hiyo iwe ni ya outing tuu
 
duh, poa nadhani ntahamia kwenye Suzuki Escudo (2004 model), nadhani hiyo haina shida.

At least go for that kwakuwa hakuna gari inayokosa madhaifu hata iwe nzuri vipi
 
Mshana jr pliz naomba kujua ubora na udhaifu wa mark 2 blit mbali kuwa iko chini
 
mshana naomba kujua uzuri na mapungufu ya gari Toyota Cami nataka kununua so better nimeona nipate ushauri kwa wadau.
 
Nashukuru na nadhani mapenzi yangu na freelander yataishia hapa maana nimeona watu wachache sana waliosema hizi gari hazijawasumbua au hawajabadili engine. Napenda sana body yake na kuna mtu aliniambia ni ngumu ukiacha matatizo ya engine

Nadhani umeamua vema,kwani first generation ndiyo yenye shinda,ila second generation haina shida na ziko chache sana .Kwa kwa waliokuwa nazo tanzania siwajaona wakiuza kwani wengi wao wamenunua brand new. Na wanaomiliki hizi second generation wana uwezo kwani price yake iko juu
 
mshana naomba kujua uzuri na mapungufu ya gari Toyota Cami nataka kununua so better nimeona nipate ushauri kwa wadau.

Kalipie ziko vizuri labda shida yake kubwa ni udogo
 
Mkuu mbn zote kwa lugha ya kigeni?

,Mkuu ulipata suluhu ya tatizo la gari yako na me nataka kununua Toyota Cami vipi zipo vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…