Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingine huwa ni kutishana zaidi ya uhalisia na mara nyingi mtu anapozungumzia spare parts anamaanisha gari ipatapo ajali vitu kama vioo taa radiator nk nk kwakuwa katika hali ya kawaida na kama unazingatia utunzaji wa chombo ni nadra gari kupata hitilafu
Na kwa ishu ya ajali kama umekata comprehensive insurance huhitaji kuumia kichwa kuhusu spare au matengenezo ya gari
Wakuu habar naomb mnisaidie Nina raum new model zile herufi ABS zinawaka je tatizo ni nini au ni kawaida
mm nakushauri usifanye hiyo kitu mkuu.ingawa wengi wanaifanya na wanashauriwa kuifanya ila hapo radha ya Gari na uhalisia WA Gari huwa unapotea kabisa .ukishafanya hivyo uimara wa Gari unapotea kabisa mkuu.
kama unauwezo lekebisha hiyo engine au nunua nyingine tuu.mambo ya kutembea na Gari iliyochomewa drive shaft.hakuna uhakika wa safari au imekatwa vikombe ni hatari tupu
Nashukuru na nadhani mapenzi yangu na freelander yataishia hapa maana nimeona watu wachache sana waliosema hizi gari hazijawasumbua au hawajabadili engine. Napenda sana body yake na kuna mtu aliniambia ni ngumu ukiacha matatizo ya engine
Binafsi sikushauri pia labda uwe nazo nyingi halafu hiyo iwe ni ya outing tuu
Nashukuru na nadhani mapenzi yangu na freelander yataishia hapa maana nimeona watu wachache sana waliosema hizi gari hazijawasumbua au hawajabadili engine. Napenda sana body yake na kuna mtu aliniambia ni ngumu ukiacha matatizo ya engine
Mkuu mbn zote kwa lugha ya kigeni?
Mkuu Mshana jr nakupongeza sana kwa kutoa wazo kama hili hapa jf..naombeni msaanda wa kiufundi wa gari yangu
Aina ya gari ni Toyota cami ya mwaka 1999, model GF - J100E , engine namba ni HC 0779565 na CC ni 1290.. nimeinunua katika showroom moja Dar es salaam miezi 6 iliyopita, sasa tatizo lake ni kuwa inatumia petrol kwa kiwango ambacho si cha kawaida kwa gari aina hiyo ..yaani inatumia mafuta mengi karibu sawa au kuzidi hata Noah, nikahisi kuwa labda hii gari inakuwa na 4 wheel mda wote, sasa baada ya kupeleka kwa fundi akasema ni kweli akafanya Diagnosis akasema upande wa Engine hakuna tatizo..ila tatizo lipo upande wa Transmition ambapo eti ktk gear box diaphragm imenasia hivyo inasababisha gari kuwa katika 4wheel mda wote..wakati inatakiwa ukitaka kuweka 4wheel uwe unabonyeza button ndio inaji engage kuwa 4wheel.. kwa hiyo kwa mujibu wa maelezo ya fundi ni kuwa tatizo la kula mafuta mengi ni gari kuwa Full time 4wheel drive..kwa hiyo kashauri afungue gearbox ili kuiangalia hiyo Diaphragm na kuinasua.
Sasa naomba ushauri wenu wa kitaalam je hili linaweza kuwa tatizo? Au kuna tatizo lingine? Wataalam karibuni natanguliza shukurani...
Kalipie ziko vizuri labda shida yake kubwa ni udogo