Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habarini jamani! Naomba kuuliza kama kuna tofauti ya transmission ya automatic na automatic CVT katika utendaji wake wa kazi ama ni kitu kimoja!?

ndio kunatofauti mkuu
 
Nilisahau......Rav4 GX/VX zipo SXA na kili time pia........cc hazitoweza kufanana........aseme ana ipi.........

Samahani kwa kuchelewa ku respond si unajua tena habari za JPM Kazi kwanza! Cc 1985 za Rav4 Kili Time ya mwaka 2003!
 
Engine take ndogo Sana halafu haina nguvu kimsingi platz ni gari nyanya

Gari nyingi zenye cc ndogo performance yake huwa ni ndogo pia. Katika kuunda pia hua hazitumii the same materials na gari yenye cc kubwa. Mfano body weight (+ugumu), suspensions etc!

So kama mtu ana uwezo wa kati ningeshauri kununua at least cc 1400 Raum na the like unapata
 
wadau naombeni kuuliza nilikuwa naangalia bei za magari used =kupitia beforward nimeona kuna magari mpaka ya $ 87-100 sawa na Tshs 187,000-200,000 ingawa mengi yametengenezwa kati ya mwaka 1998-2002 na cc zake mengi nikuanzia 1350-2900.swali langu ni kuwa hii ni bei halisi ya haya magari au baadhi yake ni mabovu?
Je hili gari la $ 87 uki imort mpaka hapa Tz pamoja na makololo mengine ina maana haiwezi zidi laki5.
cc mshana Jr
 

Kuna gari mpaka USD 50 na ziko vizuri tu shida ni usafiri na kodi zetu unaweza kujikuta unatumia si chini ya ten million kwa gari ulilonunua laki moja
 

Hiyo bei ni CIF........?........
 
Kuna gari mpaka USD 50 na ziko vizuri tu shida ni usafiri na kodi zetu unaweza kujikuta unatumia si chini ya ten million kwa gari ulilonunua laki moja

mkuu hv nikitaka kujua bei halisi mpaka kuwa nayo mkononi nafanyaje?
 
mkuu hv nikitaka kujua bei halisi mpaka kuwa nayo mkononi nafanyaje?

Pale TRA makao makuu siku hizi wana kikokotozi lakini pia zingatia sheria mpya ya magari makuukuu..gari inayozidi umri wa miaka kumi ushuru wake ni mkubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…